Mtoto wangu amemeza shilingi 200

Mtoto wangu amemeza shilingi 200

Dah, watoto wanashughuli! Mwingine kaingia kwenye sturi hapa kashindwa kutoka. 😂

Walezi mnajitahidi! 🙌
 
A
Muwahishe hospital haraka,
200 ni kubwa sana, imepitaje shingoni uwiiiiiih.

Kuna mtoto wa jiran alimeza 50, alikua anakula vyakula laini ni ndizii tyuuh siku ya 2 jioni aliitoa kupitia haja kubwaa.

Duuuh poleeee sanaaaa.
Alikuwa na umri gani?
Wangu kameza pesa Jana leo ndo kaniambia.
Kameza 50, ana miaka 7.
 
Back
Top Bottom