Mtoto wangu amemeza shilingi 200

Dah, watoto wanashughuli! Mwingine kaingia kwenye sturi hapa kashindwa kutoka. πŸ˜‚

Walezi mnajitahidi! πŸ™Œ
 
Mpige ngumi mgongoni...
Km amemeza itatoka na haja kubwa km hajaimeza ukimbamiza mgongoni itaruka juu mdomonii
Km hii mbinu haisaidii wahi hospital [emoji541]
Heimlich maneuver....
 
A
Muwahishe hospital haraka,
200 ni kubwa sana, imepitaje shingoni uwiiiiiih.

Kuna mtoto wa jiran alimeza 50, alikua anakula vyakula laini ni ndizii tyuuh siku ya 2 jioni aliitoa kupitia haja kubwaa.

Duuuh poleeee sanaaaa.
Alikuwa na umri gani?
Wangu kameza pesa Jana leo ndo kaniambia.
Kameza 50, ana miaka 7.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…