the numb 1
JF-Expert Member
- Dec 15, 2020
- 1,562
- 2,902
- Thread starter
-
- #21
alaf sas mke wang ni mwanamke mpole san toka nmejuana nae sio mtu wa hv kabisaAthari za Mama kuwa na hasira kipindi kirefu akiwa mjamzito.
Mnatakiwa kujitahidi wake zenu wawe katika furaha siku zote za ujauzito hata kwa kujifosi.
Homoni za wakati wa Mimba matokeo yake ndio haya.
Signal zizingatiwe kwa mjamzito.
hapo sio kwel sas mtoto miaka 2 anajua nn kuhusu kiburi!?Mtoto hana shida
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi
No offense
kweny hasira kwel ninazo sas tatizo yey anajibonda saan hii sio kawaidaMtoto anarithi tabia za wazazi wala usihangaike atakuwa amechukua tabia zako au za mama yake, lakini asilimia kubwa ni za kwako.
Kiburi kinaanzia miaka mingapi?hapo sio kwel sas mtoto miaka 2 anajua nn kuhusu kiburi!?
[emoji16][emoji16]Hao ndo wanajeshi/viongozi wazuri watarajiwa akiona kuna kitu hakipo sawa atatumia madaraka yake vzr kuweka mambo sawa
asant kwa ushaur mzurUkiacha kimedical, mimi nitakushauri kiroho mwombeeni sana mtoto, pia ninyi wazazi ombeni pia.
Ni moja ya dalili za mashambulizi ya kiroho. Nyuma ya hasira kuna roho fulani, deal nazo hizo.
Sasa miaka miwili anapataje kiburi kutokana na malezi, mtu hata kujielewa hajakupata!!Mtoto hana shida
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi
No offense
ana autisimNina mtoto wa kiume umri miaka 2.5,huyu kijana wangu akiwa na hasira anatabia ya kujibonda chini au sehem yoyote kwa nguvu sana na pia anang'ata sana,kufinya, angali akiwa toka mdogo nikajua labd akikuwa ataacha.
Saiv imekuw 2much anaeza fanya kitu ukamtoa au ukamnyang'anya bhas ni ugomv mzito katoka nundu chin ya jicho jana tu saiv napata taarifa kavimba kichwa washavirugana na mama ake kiukwel hii hali inanipa wasiwasi sijui huyu mtoto anatatizo gn alaf anakuwa anahasira kali sana muda mwingin anataka mpk mpigane km mkitibuana anakukwida
hili nalo nenoKuna mtoto alikuwa na hiyo tabia akiwa primary school. Ila kumbe alikuwa kachezewa. Alikuwa akichukia anajibamiza ukutani na kwenye desk. Akasomewa akawa vizuri.
kuna ugonjwa wa saikolojia anao huyi dogo...autism..wana tabia hizoKitu kilichonishinda ni hizo hasira za mpk kurusha kilicho mbele yako, kujigonga…
Huyo mtoto mama ake uwa hambamizi na makopo kweli ama ndala? 😁😁
Mlete nikusaidie kumchapa… unakachapa kisawa sawa, kisha unakapa maelekezo. Hakawezi rudia
Ni kawaida, amekurithi.kweny hasira kwel ninazo sas tatizo yey anajibonda saan hii sio kawaida
Sasa miaka miwili anapataje kiburi kutokana na malezi, mtu hata kujielewa hajakupata!!
📌Aangaliwe isije kuwa ni autism
Huwa wanatabia ya hasira sana na kupenda kujiumiza.
Autism ndo nnkuna ugonjwa wa saikolojia anao huyi dogo...autism..wana tabia hizo
Huyo ni mtoto wako au wewe ndio mtoto wake?km mkitibuana anakukwida
Hakuna miaka specific kwa kiburi kuanza, ila hoja ni kiburi kutokana na malezi kwa mtoto wa miaka 2.5 ndio inafikirishaKiburi kinaanzia miaka mingapi?
Hata kamagu kalivyokuwa kadogo huenda kalikuwa hvyo, kalikuwa hakapendi kuambiwa ukwelFuturistic:
Umeiletea dunia dikteta mwingine.