Mtoto wangu ana tabia ya kujibonda, nifanyaje ili aache?

Wewe nae wazazi walipata hasara kukupeleka shule hujaelimika hata kidogo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Wabongo mmekariri sana fimbo kuwa ndio solution kuu ya malezi.

Sometimes changamoto ya mtoto ni za kiafya na zinahitaji tiba

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mpeleke kwa Wataalam...Sitaki kusema ni Autism...Ila waone Specialist wa watoto
 
kama hutojali mkuu tuambie ulimpataje? Je ulichelewa sana kupata huyo mtoto baada ya kuingia kwenye ndoa? na je baada ya kumpata wa mwisho yeye alichukua muda gani kuzaliwa? Je jina ulilompa ni la nani? ukinijibu hapo nitakupa msaada. wanaokumabia um[peleke kwa specialist apewe msaada wa kisaikolojia wanakupoteza, mtotochini ya miaka miatatu huwezi kumsaidia kitu kwa kumfunidisha huwa anajifunza kwa kuona au viboko
 
Kiburi tu hicho chapa bakora kitaacha hiyo tabia.Sisi Hadi hii adabu tuliyokuwa nayo ni bakora.Tatizo wazazi siku hizi wanatoa adhabu na mkono badala ya bakora mtoto haogopi kuchapwa Kwa mkono mtoto anaogopa bakora kuliko kitu kingine.
 
Mtoto hana shida
Shida ni malezi mliyompa...ana kiburi


No offense
umenena vema wa kwangu alikuwa na tabia hyo, nilikuwa mtu wa kusafiri sana anabaki na mama yake, ila nilipokaa naye miezi 2 tu hyo tabia aliacha, sikutumia fimbo wala nn, macho tu na mikono yalimaliza kila kitu, akianza kujigonga tu namkata jicho la onyo halafu namuonyesha ishara ya kidole, kuwa aache huo mchezo, basi anaacha mwenyewe anakuja anaomba nimpakate, akija namchumu kwenye paji la uso namwambia, good boy, kitakachofuata ni usingizi.
 
Akina gobachev wapya

Inaonesha hamumulewi kwenye mambo yake ya msingi ,kufikisha ujumbe [emoji28][emoji28][emoji28]

Pele ,US wanakitu kinaitwa WTC (war training centre) hapa hubeba watoto aina hiyo na wanaohisiwa wababe pia ,Familia ya mkwawa inamtoto kapitia hapo ,mpaka leo yupo ndani ya jeshi la marekani cheo cha juu kabisa


Lakini ,kwakuwa Tanzania hatuna basi nikuombe mpeleke kwa wataalam wa akili na aina yao.....watoe ushauri juu mwamba
 
Sio nia yangu kukuelekeza maelezo ila tafuta majarida ya kukupa person mawazo jinsi ya kumuadhibu mtoto pale anapofanya kitu ulichomkataza.... Ukituma nguvu na Amani kumpa maumivu anajifunza kuwa Hilo ndio lengo kuu mtu akikosa. Akikua person tabia haiishi ila itabadilika na kujionyesha Kwa mfumo mwingine kama kutokusema ukweli na kujiumiza Kwa kutenda mambo hatarishi...... Ni vyema mtoto apewe aelekezwe Kwa lugha nyepesi aweze kuelewa tukio na kupewa adhabu ambazo hazichochei maumivu na usugu. Apate adhabu zenye zenye kuonyesha madhara ya kukosa nidhamu na hata kama hajui kuongea, ni lazima kuongea nae na kumwambia Kwanini umekasirika, unamoa adhabu gani, na mategemeo ya kutoliona kosa Hilo Tena.


Kamwe tabia za watoto kwenye haziyeyuki pasipo mwongozo au uwepo wa mhimili wa kuonyesha (model) tabia pendekezi ili kuondoa Ile isiyofaa. Tabia zinabadilika kulingana na mazingira kiujumla. Kwa Sasa anaonekana anajua kisichofaa, anabuni mbinu za kuficha makosa na hasira au huzuni unawasilishwa kwa kujiumiza au kumuumiza mwingine........
 
Kiburi kinaanzia miaka mingapi?
Mfano wa kiburi au kiburi Cha awali (conduct disorder or oppositional disorder or explosive behaviour) kinaanza person kujijenga akivuka miaka mitatu. Kabla ya hapo mtoto anakua anaonyesha kile kilichopo kwenye mazingira (anakua kioo). Akivuka miaka mitatu ndio tabia inakua imejitengeneza kuweza kusema Kuna dalili person za kiburi.... Na miaka mitano unaweza uka linganisha tabia za mtoto na sifa za kiburi husika kujua iwapo amekidhi sifa kuu au la.
 
Fact,mpe fimbo kali kwanza msikalee kama yai asee
 

ushatuletea tatizo duniani !!
New hitler
 
Nimeona maana hiki ulichoandika ndo mfano wa matatizo hayo hayo.... Na wewe uliharibiwa hivyo hivyo huwa tunawaona tu jinsi mlivyo. Unalelewa kwa kubemendwa unadhani utakua kuwa sawa?
Sio kosa lako.... Itafika siku utaelewa na kujenga ustaarabu Kwa binadamu wenzio. Wahenga walisema, "asiyefunzwa na mama yake...".... Ulichoandika kinaenda na malezi uliyopata.
 
Ebu tuwaachie wenye watoto au wazazi wenzie watoe ushauri. Wengine pelekeni makende jukwaa la Mahusiano utani wenu.
 
alaf sas mke wang ni mwanamke mpole san toka nmejuana nae sio mtu wa hv kabisa
Hapa ndipo shida ilipo.

Mchawi ni mama anamdekeza sana mtoto wenu.

Mtoto hujifunza tabia tokea anapoanza kuona kwa ukamilifu wake.

Anaona anavyotreatiwa.

Kama unamtreat like a king au queen lazima akusumbue tu.
 
hapo sio kwel sas mtoto miaka 2 anajua nn kuhusu kiburi!?
Ahida ya pili ni hii hapa.

Mama ni shida ya kwanza na wewe baba ni shida ya pili ambayo inafanya mtoto awe hivyo.

Miaka miwili na nusu mtoto tayari ameshaona kwa miaka miwili namna mnavyomtreat.

Ameshaona kwamba yeye ni tishio na anachokitaka anapewa.

Ameshaona kwamba yeye akitaka lake linakuwa maana mlishamlea hivyo kwa miaka miwili yote.

Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba mtoto hajui na wala hana kosa kwa sababu mtoto anabehave kwa mujibu wa data alizoingiziwa akilini tokea anazaliwa.

Na hizo data huingia kwa kuona na kusikia kwa wazazi na walezi wanaomzunguka.

Hivyo kubaliana na ukweli huo mtoa mada inaweza kukusaidia.

Hata mimi nina mtoto aliletaga huo ujinga lakini kwa vile mimi ni mtaalamu wa hayo mambo nilimhandle vi,uri na amepunguza.

Jambo la msingi ni subira katika kumbadilisha.
 
ANachokisema Joann
Binafsi naona some cases za autism ni ubabaishaji tu.

Ni malezi tu kama alivyosema Joanah

Mtoto akikulia mazingira ya walezi mabubu ambao hawaongeiongei na hawana maingiliano na watu ndio mara nyingi hali hiyo hutokea.

Kusema autism ni kulea uoumbavu ambao tunaupandikiza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…