masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Mwenyewe nimefikiri ni labda ya pwani huko....au ipo nyingine Hawa wahuni yaani chamazi nje ya mjin?Ila hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?