Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Yaan ubusy wa CHAMAZI mpaka mbande mpaka kisewe unazidi majiji ya Mwanza,Arusha,Mbeya,Dodoma....Ila hao global TV mbona Wana dharau sana?yaani chamazi ni Kijiji?au Kuna Chamazi mbili hapa Dslam?
Maana,
Mwanza siku ya jumapili saa mbili usiku vi haice (vipanya) vinakata barabarani havionekani wakati barabara za CHAMAZI zipo busy 24/7 ☺️😊