Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Kama angekuwa mwanangu na nikagundua kaingiliwa na mtu....Aiseee ningempoteza Kila aliyehusika kwa gharama yoyote Ile

Watoto wa kike wathaminiwe
Omba tu yasikukute ! Katika hizo harakati za kutaka kupoteza kila mtu aliyehusika unaweza kujikuta unaangukia jela maisha yako yote na usifanikishe kile ulichokitaka..
Hakuna namna ya kupambana na mabalaa omba tu usipatwe nayo
 
WAZEE wa peleka moto so kwamba wanaonyonya tu kilichopo katikati ya mapaja WAO wananyonya mpaka pua.
 
Picha inaongea sana Hawa mama zake wawili upande wa kulia wanaonekana Wana mambo mengi sana.Unadhani Warda atakuwa vipi???
 
Wazazi tupunguze ubusy wa kazi, watoto watatushinda kuwalea.

Yaani mtoto miaka hata 12 hajafika anakuwa ameshajua utamu wa mbo**o hadi kutoroshwa kwa Mwanaume [emoji119]

Yani inashangaza mimi miaka 12 hata kucheka na mwanaume naogopa lol
Bikra zimetolewa 23 huko jamani hawa watoto wa sasa wanakula nini mbona tunaogopa sasa hata kuzaa,watoto wanapenda mb*o kuliko kula khaaa
 
Watu wanazaa zaa hovyo alafu hela ya kulea hawana unategemea mtoto atapafutahia nyumbani?

Hili nalo neno kuntu,imagine mtoto anarubuniwa kwa vichips kuku karne hii
Maisha duni yanafanya watoto wakiyumbishwa kidogo wanajaa wakidhani kuna afadhali
 
Yani inashangaza mimi miaka 12 hata kucheka na mwanaume naogopa lol
Bikra zimetolewa 23 huko jamani hawa watoto wa sasa wanakula nini mbona tunaogopa sasa hata kuzaa,watoto wanapenda mb*o kuliko kula khaaa
Hongera iwapo uliweza kujitunza hadi kufika miaka 23, Wazee wako watakuwa walifanikiwa kukudhibiti

Nadhani kuna shida ya Malezi siku hizi, Wazazi kuna haja ya kujitafajari kama tunastahili kuendelea kuzaa iwapo tumesindwa Malezi

Miaka ya zamani tuliishia kufanya kinguo nguo ila siku hizi wanafanya Live.
 
Habari haijakamilika. Alipatikana kwa nani, na Nani alimtorosha na kwanini.

Huenda hakutoroshwa na mwanamme.
 
Sijui ni vyakula au kitu gani.

Madogo wanatokwa na shepu na vichuchu wakiwa na miaka 9 mpaka 12.
Binti anaemaliza darasa la 7 ni ngumu kumtofautisha na mtu mzima afaae kwa natumizi..

Kidogo niikaribie 30 yrs lupango kwa binti aliemaliza la 7, bila kuuliza hakyanani ningenyea debe.
Mpaka ukauliza mzee, yeye mwenyewe alishakubali?
 
Back
Top Bottom