Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Dini Yao mahubiri Yao asilimia 90 ni ndoa na mahusiano. Viongozi wanaongea maneno makali na mazito ya kimahusiano kwenye ibada ambazo hazijatengwa kwa umri ili mafundisho yaendane na rika. Hivyo unakuta mtoto mdogo amejaza kwenye kichwa chake mambo yaliyomzidi umri na baadaye kuyazoea na kuamua kufanya practical. Acheni mahubiri ya mahusiano mbele ya watoto. Tenganisheni ibada za watoto na watu wazima na kama haiwezekani waondoeni watoto kwenye mawaidha . Sasa unakutana na kipoozeo ndiye anaendesha ibada na watoto wapo huko huko yeye si anatiririka tuu?
Wewe kafiri umeona jina la kiislam mbio mbio umekuja kuonesha chuki zako dhidi ya Uislam kama ilivyo kawaida yako.

Wewe kufa tu kwa chuki yako.
 
Watoto/Vijana/Teens, ni shidaaaa...Pasua kichwa kabisaaa...😢😭
 
Kama angekuwa mwanangu na nikagundua kaingiliwa na mtu....Aiseee ningempoteza Kila aliyehusika kwa gharama yoyote Ile

Watoto wa kike wathaminiwe
Sio rahisi mkuu, unaweza fika hata la kuongea ukakosa ukambeba mwanao ukaenda nyumbani na ukafika nyumbani wewe ndio ukaanza kulia yeye anakuangalia tu, mkavu kabisa. Watoto wa sasa hivi ni hatari sana
 
Sijui ni vyakula au kitu gani.

Madogo wanatokwa na shepu na vichuchu wakiwa na miaka 9 mpaka 12.
Binti anaemaliza darasa la 7 ni ngumu kumtofautisha na mtu mzima afaae kwa natumizi..

Kidogo niikaribie 30 yrs lupango kwa binti aliemaliza la 7, bila kuuliza hakyanani ningenyea debe.
Mkuu unatembea na mtoto wa darasa la saba? Na unampeleka lodge kabisa? Au unatania mkuu [emoji3]
 
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
Mwanye nguo ya CHUI MILIYA namuona kama anadukuduku ivi.
 
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
Kizazi cha sasa kimepoteza tumaini na misingi ya familia zao
 
Ok,maybe.,ila siamini katika Uchumi mzuri ndio uwe na mtoto mwenye kujiheshimh
Darling, visa vya watoto wa kike kutokomea kusipojulikana mimi nasema vingi vinasababishwa na hali ya uchumi kwa sababu rejea lile wimbi la mafataki kurubuni wanafunzi miaka ya nyuma kwa kuwapa vihela na kuwanunulia vichips, Unadhani mtoto akiwa anavipata hivyo vitu nyumbani njiani vitampagawisha?
Dunia ya sasa imebadilika maisha tunayoyaona vyuoni ya vijana kuosheana ubora wa maisha na sasa yanaanza kuingia katika shule hizi za upili hivyo tutegemee kuona visa vingi kama hivi na ndo maana nasema kabla ya mtu kuamua kuzaa inabidi ajithibitishie ubora wa maisha kwa mwanae nje na hapo huyo mtoto atamsumbua maana wahuni hawatoacha kutumia opportunity ya umasikini wa familia yake kumpata.
 
🤣🤣🤣🤣Mi nihangaike na wewe?si huyo baby wako Missy Gf na shemeji yako Lamomy wananishutumu huyo sijui ndio Siri Yako eti baby wangu mi wapi na wapi?
Unamkana hana pesa?
Ungejua hiyo ni mutu muzito nchii ungenyamaza hakika😂😂😂

Udione ninamtania ni bonge la muheshimiwa
 
🤣🤣🤣🤣Mi nihangaike na wewe?si huyo baby wako Missy Gf na shemeji yako Lamomy wananishutumu huyo sijui ndio Siri Yako eti baby wangu mi wapi na wapi?
😜 jamani mgombane yaishe mwezi ukaachiliwa na nyie muachilie vinyongo.
Tunataka mrudishe penzi km zamani
 
Unamkana hana pesa?
Ungejua hiyo ni mutu muzito nchii ungenyamaza hakika😂😂😂

Udione ninamtania ni bonge la muheshimiwa
🤣🤣🤣🤣Una majungu sana we mkaka,Sasa mambo ya pesa yametokea wapii??imekuwaje Kawa wangu tena mbona mnanichanganya medulla oblongata,am sure hata hanijui
 
Back
Top Bottom