Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
Wanao toroka ni wa kike tuu! Tena 15+ Yrs kuna shida mahali
 
Vijana wa JF acheni uzinzi na vitoto,
Mtakufa kifo cha mbwa mwenye kaswende.
 
Kizazi hiki cha kusikiliiza ngoma za dear x na masingeli hamna kitu kabisa
Watoto wadogo washajua mambo ya kuzagamuana

Ova
 
Mapenzi na malezi sio pesa....hata wazazi maskini wanapenda na kupendwa na watoto wao... Tatizo ni wazazi wa kisasa kuwa busy kutafuta pesa na kukosa uangilizi Kwa watoto,,bond baina ya mzazi na mtoto inakosekana
Huwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
 
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
Keshakuwa mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni vyakula au kitu gani.

Madogo wanatokwa na shepu na vichuchu wakiwa na miaka 9 mpaka 12.
Binti anaemaliza darasa la 7 ni ngumu kumtofautisha na mtu mzima afaae kwa natumizi..

Kidogo niikaribie 30 yrs lupango kwa binti aliemaliza la 7, bila kuuliza hakyanani ningenyea debe.
Ukinyoosha mkono huendi huko
 
Sasa namfichaje?nilisema siku ya nilipoachwa kwamba namwachia Missy Gf baby wangu ila nimekaa pale atanirudushia si uanaona wababe wapya kina Siri yangu wanavyombebisha?🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Kwahiyo siri yangu sio wako?
Sasa mbona anakubebisha na bro namuona kabisa kapanic hakutegemea hili
 
Hiyo jeuri itoke wapi?
Unafikiri ni dharau? Ni sifa stahiki.

Huko kuna sukari za 200, 300, 500.
YAani mangi anaigawa kg moja ya sukari hadi jimla inatoa 6,000/=

Kwa imasikini wetu tunasemq Mbagala na biunga vyake vitu bei rahisi kumbe tunapigwa kwa akili sanaaa.

Kuna daladala imeandikwa ( kwa akili sanaa)
Unaelewa maana yake? 😂😂😂
Sielewi maana ya Kwa akili sanaaa🤣🤣🤣
Ila Huoni wanarahisisha maisha ya binadamu?
 
🤣🤣🤣 Kwahiyo siri yangu sio wako?
Sasa mbona anakubebisha na bro namuona kabisa kapanic hakutegemea hili
Kwani ni Mimi au bro na Siri yake ndio wanabebishana mi simo?
 
Back
Top Bottom