Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Sasa Chamazi mao ni mji mwanangu?
Mbagala yenyewe ni kitongoji tu😂
Dah,mna dharau sana nyie watu....pamoja na Tajiri kujenga uwanja wa kisasa bado mnapaita kijijini?
 
Watu wanazaa zaa hovyo alafu hela ya kulea hawana unategemea mtoto atapafutahia nyumbani?
Mapenzi na malezi sio pesa....hata wazazi maskini wanapenda na kupendwa na watoto wao... Tatizo ni wazazi wa kisasa kuwa busy kutafuta pesa na kukosa uangilizi Kwa watoto,,bond baina ya mzazi na mtoto inakosekana
 
Kinawakati tunachukulia mambo poa lakini tunakoelekea itakuja kuwa mazoea. Mimi nategemea mtoto was kupotea ni under 7 lamda Kwa sababu huyo Binti kama jina la shule analijua na mtaa ilipo na jina la mzazi analijua inakuwaje anapotea?
 
Kama angekuwa mwanangu na nikagundua kaingiliwa na mtu....Aiseee ningempoteza Kila aliyehusika kwa gharama yoyote Ile

Watoto wa kike wathaminiwe
Ungewapotezaje madam?ungetumia njia zipi?
 
Kinawakati tunachukulia mambo poa lakini tunakoelekea itakuja kuwa mazoea. Mimi nategemea mtoto was kupotea ni under 7 lamda Kwa sababu huyo Binti kama jina la shule analijua na mtaa ilipo na jina la mzazi analijua inakuwaje anapotea?
Wametumia tafsida tu ila inaeleweka Nini kimeendelea kwenye Hilo sakata
 
Sijui ni vyakula au kitu gani.

Madogo wanatokwa na shepu na vichuchu wakiwa na miaka 9 mpaka 12.
Binti anaemaliza darasa la 7 ni ngumu kumtofautisha na mtu mzima afaae kwa natumizi..

Kidogo niikaribie 30 yrs lupango kwa binti aliemaliza la 7, bila kuuliza hakyanani ningenyea debe.
 
Mguvu za kibinadamu ni pesa, sasa wao hizo nguvu hawana, wasubiri subiri kwanza
Daah,hamna hata mmoja aliyeibuka kutetea kata Yao kuitwa Kijiji,na wamo humu tele....kisa wanaogopa kuonekana hawana"Nguvu"😥
 
Hivi ni kitu gani kinatokea kwa hawa watoto siku hizi mpaka wanakimbia makwao?
---
Mtoto Warda Mohammed (15) aliyekuwa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyumbu iliyopo Kibaha mkoani Pwani aliyepotea tangu Aprili 19, 2023, amepatikana.

Usiku wa kuamkia leo Oktoba 28, 2023, GLOBAL TV imepokea simu kuwa Warda ameonekana Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar.

GLOBAL TV imefunga safari na kwenda kumshuhudia Warda na kumtambua kuwa kweli ni yeye.

Source : Globaltv
Mbona taarifa haijakamilika sheikh
 
Back
Top Bottom