Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Daah,hamna hata mmoja aliyeibuka kutetea kata Yao kuitwa Kijiji,na wamo humu tele....kisa wanaogopa kuonekana hawana"Nguvu"😥
Hiyo jeuri itoke wapi?
Unafikiri ni dharau? Ni sifa stahiki.

Huko kuna sukari za 200, 300, 500.
YAani mangi anaigawa kg moja ya sukari hadi jimla inatoa 6,000/=

Kwa imasikini wetu tunasemq Mbagala na biunga vyake vitu bei rahisi kumbe tunapigwa kwa akili sanaaa.

Kuna daladala imeandikwa ( kwa akili sanaa)
Unaelewa maana yake? 😂😂😂
 
Hapo kwa Mathiasi ni shida sana, nashukuru binti yetu alimaliza shule salama ila mie kama mzazi msaidizi nilipambana sana kuhakikisha mahitaji yote anapata kwa wakati na asisite kuniambia hitaji lolote akitaka kama anaona ni zito kwa wazazi wake ambao mmoja alikuwa mbali na nchi.
 
Chamanzi sio Dar vipi mbona mnanivuruga?🤣🤣🤣unajua shosti yako Lamomy alienda kuogelea mto mzinga?Sasa kule ndio kijijini
Usinikumbushe 🤣🤣🤣
Kuna vitu ukikumbuka unajicheka mwenyewe, tulichoka kuoga maji ya coco
 
Hiv vi bint saiv viko res sana vikishaona chuchu zmechomoza vinajua Tayar n watu wazma wakat bado ubongo mbich kabsa, Jana nlkua kwenye bas na dada mmoja kapanik mdogo wao wa kike miaka 15 kaiba ml 20 kapotea nazo ujinga simu anapokea anawaambia msijsumbue kuntafuta nimeenda kuanza maisha yangu.. Hawa ndio mume kazaliwa 2003 mke 2006 mtoto wao kazaliwa 2023 yan nyumba nzma bado utosi unacheza 🙌
 
Back
Top Bottom