Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Wanawaza ndoa za mapema
Dini Yao mahubiri Yao asilimia 90 ni ndoa na mahusiano. Viongozi wanaongea maneno makali na mazito ya kimahusiano kwenye ibada ambazo hazijatengwa kwa umri ili mafundisho yaendane na rika. Hivyo unakuta mtoto mdogo amejaza kwenye kichwa chake mambo yaliyomzidi umri na baadaye kuyazoea na kuamua kufanya practical. Acheni mahubiri ya mahusiano mbele ya watoto. Tenganisheni ibada za watoto na watu wazima na kama haiwezekani waondoeni watoto kwenye mawaidha . Sasa unakutana na kipoozeo ndiye anaendesha ibada na watoto wapo huko huko yeye si anatiririka tuu?
 
Huwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.
Tabia njema ni malezi, na uwe na bahati mtoto ayapokee, kuna watu wamesomesha watoto kwenye shule za pesa, lakini tabia za watoto hao, hazisimuliki.
 
Sasa ni Jiji?washamba wa kusini wote wanaishi huko.kuna kiongozi gani umewahi kuskia anaishi hata Mbagala tu?
Jamani Kwa Kijichi si ni Mbagala?Toangoma,Mikwambe na Vikunai?mbona Kuna marafiki zangu madon kabisa wanaishi huko?
 
Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.
Tabia njema ni malezi, na uwe na bahati mtoto ayapokee, kuna watu wamesomesha watoto kwenye shule za pesa, lakini tabia za watoto hao, hazisimuliki.
Hapana, Huyo mtoto kwani ana tabia mbaya??? Sababu za mtoto kutoweka nyumbani sio kwa kuwa ana tabia mbaya ila wakati mwingine hali ya nyumbani inaweza kumfanya mtoto akashindwa kuepuka vishawishi pindi akihisi kama kuna sehemu anaweza kupata maisha bora zaidi.
 
Kuna watoto, wazazi wao wako vizuri kiuchumi, ila watoto wana tabia mbaya.
Tabia njema ni malezi, na uwe na bahati mtoto ayapokee, kuna watu wamesomesha watoto kwenye shule za pesa, lakini tabia za watoto hao, hazisimuliki.
Huyu kanishangaza eti malezi ni Uchumi mzuri,,Kuna watoto wa maskini wako vizuri sana Wana Upendo,na heshima.
 
Huwezi kutengeneza bondi au kuangalia mtoto ikiwa hujajiimarisha kiuchumi... ndo maana nimemaanisha kuzaa hovyo bila kujipanga ndo matokeo hayo... We nikuulize tu au nikuambie fanya uchunguzi utagundua asilimia kubwa ya hao watoto wa kike wanapotea ghafla majumbani utagundua vishawishi hupelekewa na hali ya mazingira iliyowazunguka.
Ok,maybe.,ila siamini katika Uchumi mzuri ndio uwe na mtoto mwenye kujiheshimh
 
Hapana, Huyo mtoto kwani ana tabia mbaya??? Sababu za mtoto kutoweka nyumbani sio kwa kuwa ana tabia mbaya ila wakati mwingine hali ya nyumbani inaweza kumfanya mtoto akashindwa kuepuka vishawishi wakati akihisi kama kuna sehemu anaweza kupata maisha bora zaidi.
Kuna mtu nimemjibu, kule juu, yeye anaamini malezi ya watoto ni pesa, na ameenda mbali, akaandika kuwa, kuzaa hovyo bila kujipanga, kiuchumi lazima kuwe na matokeo mabaya.
 
Back
Top Bottom