Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Mtoto Warda apatikana kwenye Kijiji cha chamanzi, Dar es Salaam

Unamkana hana pesa?
Ungejua hiyo ni mutu muzito nchii ungenyamaza hakika😂😂😂

Udione ninamtania ni bonge la muheshimiwa
Ila nyau una matatizo sana wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio rahisi mkuu, unaweza fika hata la kuongea ukakosa ukambeba mwanao ukaenda nyumbani na ukafika nyumbani wewe ndio ukaanza kulia yeye anakuangalia tu, mkavu kabisa. Watoto wa sasa hivi ni hatari sana
Hivi inakuwaje mpaka mtoto anakuwa ana uchungu kabisa daah watoto wa sikuiz wanaumiza sana

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom