Mtozi Alloyce Nyanda: Kuna watu wanamtumia Swai kumchafua Sabaya?

Huyu ilitakiwa akosane na wajahdinah ndo angejua nini maaana ya kisu shngon
 
Mbona huyu Ole Sabaya anasifika zaidi kwa mabaya tu? Ana laana, au! Naomba wanao mfahamu vizuri wanijuze tafadhali.
Sijui sheria inasemaje akienguliwa anaweza shitakiwa binafsi kwa madhila aliyoyenda kwa kutumia vibaya madataka?
 
Huu mkakati umekutana na Kaburi lengo lilikuwa kuwaharas Wafanyabiashara wa Kilimanjaro

Kuna wajinga wanaamini mambo ya ajabu ya Ukabila na huyo Mfanyabiashara na wenzake ni collateral demage tu
 
View attachment 1746008

Watu tukilakamika jinsi watu walivyokuwa wana nyang'anya na kupora wafanya biashara huu ni mfano hai.

Walitekwa kina Mo Dewji.
Zakaria just to mention a few.

Sasa leo mama Samia anashughulikia matatizo, waliokuwa wanapora ambao wao humu mtandaoni wanakuja juu.
Mheshimiwa raisi tunaomba utupie jicho lakini wilaya ya Kigamboni vilevile dhulma ni nyingi na zinafanywa na maofisa wa ardhi kunyanganya watu wenye maeneo makumbwa waliotunza mikoko na sasa mkuu wa wilaya anataka kugawa viwanja ndani ya uoto wa mikoko na sisi kama wahifadhi anatutishia na kusema ni wakazi haramu na tunauza madawa ya kulevya.Kigamboni kuna matatizo mengi na mkuu wa wilaya anatawala kama myelin.
 
Mtemi
 
dawa yake Ni kumbebea bango tu maana Mheshimiwa raisi kasema hataki Mambo ya mabango Zama za kuigiza kula maindi zimeisha
 
View attachment 1746008

Watu tukilakamika jinsi watu walivyokuwa wana nyang'anya na kupora wafanya biashara huu ni mfano hai.

Walitekwa kina Mo Dewji.
Zakaria just to mention a few.

Sasa leo mama Samia anashughulikia matatizo, waliokuwa wanapora ambao wao humu mtandaoni wanakuja juu.
Mheshimiwa raisi tunaomba utupie jicho lakini wilaya ya Kigamboni vilevile dhulma ni nyingi na zinafanywa na maofisa wa ardhi kunyanganya watu wenye maeneo makumbwa waliotunza mikoko na sasa mkuu wa wilaya anataka kugawa viwanja ndani ya uoto wa mikoko na sisi kama wahifadhi anatutishia na kusema ni
dawa yake Ni kumbebea bango tu maana Mheshimiwa raisi kasema hataki Mambo ya mabango Zama za kuigiza kula maindi zimeisha
sisi wengine kashatutisha kiasi tumekimbia nchi si anaweza kukuweka jela
 
Huyu bwana latest video anaoneka yupo ziwa JIPE mpaka mwa TAnzania na kenya ni mkulima baada ya kufilisiwa kabisa
 
Yale Magenge Ya Kuumiza watu yalikuepo kila mahala sio wafanyabiashara tu ...Magenge haya hata maofisi ya umma yalikuepo.Yaliyokua yanasema Hii imetoka Juu...
 
Sabaya ni jambazi alikua anaenda Arusha na wahuni wenzie anawapa pesa wananunua kwenye duka harafu jamaa adai risit anatoka haraka baadae wanakuja wao kujifanya wamemkamata kumbe ni mchongo huku wamechunguza mpaka account yako na kukuambia usipotoa milioni hamsini unapewa kesi ya uhujumu uchumi mimi nilisema zambi ya kuua ntaipata waje wafanye huo ujinga kwangu bahati nzuri kwao hawakuonekana tena kwenye maduka ya stand kubwa...huyo ni jambazi jambazi
 
Wangemleta mikoa ya wasiovumilia kabisa ujinga aliofanya huyu Sabaya.
Sasa angekuwa historia.
Chalamila aliingia Mbeya kwa gia yake, aliambiwa tulia bwana mdogo,
Sasa amekuwa joker.
 
Ndio maana alilia sana mungu wake alipoingizwa kaburini...

Sabaya3.jpg
Sabaya.jpg

Na wahuni kama huyu kwenye hiyo serikali ya kijambazi walikuwa wengi...​
 
Huu mkakati umekutana na Kaburi lengo lilikuwa kuwaharas Wafanyabiashara wa Kilimanjaro

Kuna wajinga wanaamini mambo ya ajabu ya Ukabila na huyo Mfanyabiashara na wenzake ni collateral demage tu
Kama ni mimi ningeshalikimbia huko kwa wachagga maana kinga haina hakika kwasasa
 
Back
Top Bottom