Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

Halafu ni kujiaibisha tu hebu ona hadi serikali wanaingilia kati

Mijitu mizima inagombania msiba na wapi pa kuzika karne hii kweli
 
Wosia na sheria za mirathi kazi yake nini ikiwa msiba ndio utaamua?
Wewe umeshaandika wosia?
Wosia si karatasi ya kufungia vitumbua, Reginald Mengi aliandika na bado umekuwa na mapungufu kibao.

Msiba /maziko yanaonyesha moja ya kigezo muhimu kwenye mirathi kwamba iamuliwe kwa sheriaza kikristo[Indian Sucession Act], ya Kiislamu au kipaganani.

Waislamu mwanamke ni kama bidhaa na anapata kidogo sana sana, ni kama hana chake, [1/3], wakati kwa wakristu Yesu alifundisha upendo na usawa hivyo mwanamke anapata kikubwa sana, au kama ni mume amefiwa basi mume anapata kikubwa na yeye ndio atawapa wanawe .
 
Kwa hiyo maziko yana nguvu kwenye mirathi kuliko wosia?
 
Kaka Robert Heriel Mtibeli pole sana kwa kuondokewa na mpendwa wako. Apumzike kwa amani.

Kuna maelezo yako nakinzana nayo lakini siungi mkono kugombania kuzika, mtu akishaolewa kwa tamaduni na desturi zetu za kiafrika huwa anatoka kwao na kwenda kuishi na mumewe, koo nyingine tofauti kabisa na huko wanakuwa responsible kwa kila kitu kitakachomtokea endapo kama hali ni shwari na hakuna migogoro.
 
Kwa hiyo maziko yana nguvu kwenye mirathi kuliko wosia?
Shida ya shule za kata ndio hii.
Soma uelewe, nimeshema ni moja ya vigezo, mpuuzi nini?
au niandike kingereza?
Ndio maana serikali ilisema itawafundisha katiba kwa miaka 5 alafu ndio mpige kura, yani "kiswahili kipo uchi" kabisa unashindwa kuelewa?
 
Shida ya shule za kata ndio hii.
Soma uelewe, nimeshema ni moja ya vigezo, mpuuzi nini?
au niandike kingereza?
Ndio maana serikali ilisema itawafundisha katiba kwa miaka 5 alafu ndio mpige kura, yani kiswahili kipo uchi kabisa unashindwa kuelewa?
Una maneno mengi sana na hayana umuhimu kwenye mada husika

Wosia na sheria ya mirathi zitabaki kuwa nguzo katika hali hiyo
 
Azikwe katika mji uleule aliopata umauti asisafirishwe kwenda mji mwingine na mazishi yake yaharakishwe isizidi masaa 24.
Baba Amefariki Tunduma kwenye biashara zakw, watoto wanaishi Ottawa Canada, mke yupo Tarakea Rombo unataka baba azikwe Tunduma?
Booking ya international flights, rukhsa kazini, kujipanga inachukua siku ngapi mpaka mtu afike Tanzania?

Unapata tarifa ya msiba ndani ya siku moja, siku nya pili unakenda kuomba rukhsa kazini, siku ya 3 unatafuta ndege na nauli , unasafiri kwa siku mbili, hapo ushakula siku 5 na hujafika tanzania!
 
Hio biashara nilishaikataa, tuwe kama mabohora tu, ukifa unazikwa hapo hapo tu ulipofia na waliokuwepo haijalishi ni kwenu au sio kwenu ili mradi kuwe na watu tu wakuzika.
 
Umetumia misingi na utamaduni wa kabila la Wapare, umama umama umetajwa sana, patrilineal na matrilineal ni msingi sana, ukiachika, mahari kurudishwa, kuhama makazi, kukosa makazi, kutengwa, ugomvi, na etc
 
Kwahiyo ukifika wewe kumzika ndo atafufuka? Maiti azikwe haraka ndani ya masaa 24 ukifika utaonyeshwa kaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…