SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Ni huku africa mkuu jambo dogo linakuzwa
Ona sasa. Masuala ya Binadamu wote Duniani, nyie mmengang'ania "Waafrika"Lakini kwa nini mgombee maiti?
Waking'ang'ania wazike waachieni wazike
Waafrika tuna mambo ya kijinga sana
YudaHebu ona mkuu. Maiti inafukuliwa wanaenda kuizika tena
Huwezi Elewa mpaka siku mpendwa wako kama mtoto wako alafu atokee mtu mwingine aamue mahali pengine pa kumzikaAlifariki dada angu mwaka juzi, mi nikasafiri usiku kucha kuwahi mazishi , nafika nakutana na huo ujinga!
Mume wake wa zaman na mume wa sasa wanagombea kuzika maiti, tukaanza kuuweka issue mpaka ikafika mahakamani!
Kuna mambo yanashangaza sana!
Siku nikifa mseme oooh akazikwe kwa mumewe, mtanitambua
Hio biashara nilishaikataa, tuwe kama mabohora tu, ukifa unazikwa hapo hapo tu ulipofia na waliokuwepo haijalishi ni kwenu au sio kwenu ili mradi kuwe na watu tu wakuzika.
Umetumia misingi na utamaduni wa kabila la Wapare, umama umama umetajwa sana, patrilineal na matrilineal ni msingi sana, ukiachika, mahari kurudishwa, kuhama makazi, kukosa makazi, kutengwa, ugomvi, na etc
Kwahiyo ukifika wewe kumzika ndo atafufuka? Maiti azikwe haraka ndani ya masaa 24 ukifika utaonyeshwa kaburi
Nimeshafiwa na wapendwa wangu kadhaa, baadhi ya ndugu waligombania kuhusu suala la mazishi.Siku ukifiwa na unayempenda ndio utapata jibu la swali lako.
Ni sawa na uulize kuna faida gani mtu anayefia Marekani au Ughaibuni alafu asafirishwe kuzikwa huku Bongo.
Mtu atamuacha babaye na mamaye na kuambatana na mumewe/mkewe na kuwa mwili mmoja, acheni ufitini aliewaambia nyie familia mnamamlaka ni nani?, babu yenu kafa hajatengana na mkewe nyinyi mnalazimisha. Huko walipo wanakula maisha kwa Upendo uliotukuka nyie endeleeni na fitina zenu.
Nimeshafiwa na wapendwa wangu kadhaa, baadhi ya ndugu waligombania kuhusu suala la mazishi.
Kwa utashi wangu nilijiridhisha kwamba malumbano hayo sababu yake kubwa ni kugombania Mali katika muktadha wa urithi, vinginevyo ni ignorance tu
Daaah! Hao waume zake wana akili za hovyo sanaAlifariki dada angu mwaka juzi, mi nikasafiri usiku kucha kuwahi mazishi , nafika nakutana na huo ujinga!
Mume wake wa zaman na mume wa sasa wanagombea kuzika maiti, tukaanza kuuweka issue mpaka ikafika mahakamani!
Kuna mambo yanashangaza sana!
Uliona wapi Ulaya wanagombania maitiOna sasa. Masuala ya Binadamu wote Duniani, nyie mmengang'ania "Waafrika"
Panueni uelewa.
Ni kweli kabisaYuda
9 Lakini hata Mikaeli, malaika mkuu, aliposhindana na shetani kuhusu mwili wa Musa, hakuthubutu kutamka hukumu juu ya shetani, bali alisema, “Bwana akukemee!”
Hayo mambo ya kugombea mwili mpaka kwenye biblia
Ni kweli kabisa
Shetani alijua Musa aliheshimika sana hivi kwamba watu wangeanza kuabudu alipozikwa Musa
Ndio maana Mungu alificha alipokufa Musa kumzuia Shetani
Umeandika mambo lukuki lakini umeonesha njia kwamba KIPATO CHA UPANDE FLANI ndio kinaweza kutoa muelekeo wa mazishi yafanyike wapi.Mtu kuolewa katika ukoo fulani haimaanishi kuwa ukoo huo unamamlaka ya kuamua Mwanamke huyo azikwe wapi. Mwenye mamlaka ni Mhusika mwenyewe kama aliomba, au mumewe au watoto wake kama ni wakubwa wanaojiweza kiuchumi.
Haha Shetani ndio alitaka kulizuaSasa nao wanagombea mwili
Sijui kwa kabila lako ila kwa kabila langu bado kuna miongozo inafuatwa bila kujali usasa.Shukrani sana Mkuu
Siku hizi hakuna hizo mila na desturi ndio maana mimi naitwa Robert na wewe unajiita Half Amerika.
Bibi na babu zangu walikuwa Wakristo na kwa mila zetu hakuna kitu kinaitwa Ukristo.
Mila na desturi sio ruhusa kuoona makabila tofauti lakini siku hizi Watu wengi wameoa na kuolewa na makabila tofauti.
Kwa kifupi hizo mila za kiàfrika siku hizi hazipo labda kwa wàtiñdiga, Wahadzabe n.k huko
Sijui kwa kabila lako ila kwa kabila langu bado kuna miongozo inafuatwa bila kujali usasa.
Na huo wosia atakabidhiwa nani? Tuanzie hapo.Tujifunze kuandika wosia wa wapi tuzikwe tukishakutwa na mauti