Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

Ana roho mbaya sana huyo si ajabu anaweza kumpa sumu huyo binti. Nitamwambia acha roho mbaya utaharibu ndoa yako na unaweza kuishia lupango.
Ana roho ya kishetani huyu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Fanya hima umueleze mwenye mtoto, hatanii huyoo, atamuua huyo mtoto.

Mwingine alimmwagia baba na mtoto mafuta ya moto, mtoto aliungua vibaya mgongoni na baba usoni, mbaya zaidi mtoto ki wake ila hakutaka mtoto wa nje aishi pale.
 
Yaani mtoto anafanana na baba yake halafu unamuchukua?

Mtoto kachukua sura ya baba yake na baba yake ni mbaya wa sura(nilivyoelewa mimi)

Dah!!nimejikutana napatwa na hasira niliposoma hapo kwenye kumupa chakula kingi ili ashindwe kukimaliza umupige...
 
Mi ningemshauri ajikate mikono ili asiweze kuitumia kumuadhibu mtoto.
 
Tatizo uyo mwanamke katoa mno mimba sasa anajuwa hatokuja kumzalia mwanaume yoyote kutokana nakizazi kupotea,,,ivyo kwakuwa alishazoea ushetani wakutoa mimba ndomana ushetani bado unamuandama anataka kumtoa nauyo ambae kazaliwa namwanamke mwenzie ambae nitimamu. Kikubwa uyo mwanaume mwenzetu aliejitwisha shetani hili tungemjuwa tungemshauli afanye maarifa yakumuepuka uyo shetani aliemuweka ndani
 
Binafsi ningemshauri Mumewe amtimue kwake Mara moja, maana anapoelekea ataua Huyo Mtoto kwa sababu ya roho yake mbaya.
 
Dunia ina Mambo, roho mbaya haijengi....adui wa Leo ndo rafiki wa kesho,
 
Kila mtu apende mtoto wake kwanini nipendemtoto wa mwanamke mwenzangu, hafu huyo mwanamke Hana upendo unatoaje mtoto wako akelelewe na mwanamke mwingine wakati uko hai
i
Unayo haki ya kutopenda lakini huna haki ya kumtesa ntoto wa mwenzio.
Lakini huyo mwanaume ni mpuuzi kabisa, iweje mwanao afanyiwe mateso na wewe ukae kimya? Ina maana huwa haongei na bintiye kuhusu yanayojiri akiwa hayupo? Huwa hafanyi uchunguzi kimya kimya kama mwanae yupo salama?
Mimi siwezi kucompromise kwenye usalama wa mwanangu, ni heri mke aondoke hata kwa gharama kubwa kuliko mtoto kuteswa.
 
Kupenda naweza je huo upendo utakuwa sawa na wamama yake kweli?
Pia siwezi kutesa mtoto wa mtu Mimi Sasa kuliko nisimpe care ya mamake arudi kwa mamake, binadamu tu wabinafsi Ila watu wanaozaa bila mpango matokeo huwa kutesa watoto. Hafu huyo mtoto five year's too young anafanya makubwa hapo anapigwa kuwa intimidated abused na hawezi kusema anaogopa kuja kupigwa nyie wanaume wenyewe mkiwa na wake hamna SAUTi.
Mwanamke anaweza sema mlete mtoto wewe ukiwa hapo atajifanya kumpenda ukiondoka mtoto anateswa mpaka basi, na mwanamke wako akishazaa ndio kabisa huyo wako wa nje ataisoma number.
Sara mwenyewe kwenye biblia yalimshinda akamfukuza hajira ije kuwa watu wa Sasa wasio na upendo.
Mimi kila mtu alee mtoto wake akijitambua kufanya mwenyewe aje nimeshuhudia mateso ya watoto wengi na hivi wanaume, wanawake, wanazaa hovyo mwisho watoto wanateseka.
Namlaumu hyo mwanaume kuzaa hovyo na kushindwa kumpeleka mtoto hata kwa Bibi ake
 
je kama mamayake amekufa
Atafte namna Mambo ya kuchoshana siwezi wangu tu hapo ukute ananisumbua sembuse wa mwingine, nimeshuhudia kwa ndugu walivoteseka na watoto wa kambo walivokuwa wakubwa wakawageuka kwa kweli niliapa silei mtoto wa mtu Bora Nika adopt yatima huko asiye na ndugu
 
Ndo hayaa ya kujidai unakimbiaa ndoaa wanao wanalelewa na wamama kama hawa wewe ukiendelea kulipiza kisasiii hukoo kwa kulalwaa ovyoo[emoji849][emoji849]
Mimi nikiondoka nabeba wanangu siachi nyuma nimwachie mwanaume watoto ili iweje, Mimi naenda mbele na watoto siachi nyuma kamwe, na huyo mwanaume apambane azae na huyo mwanamke mpya
 
Mimi nikiondoka nabeba wanangu siachi nyuma nimwachie mwanaume watoto ili iweje, Mimi naenda mbele na watoto siachi nyuma kamwe, na huyo mwanaume apambane azae na huyo mwanamke mpya
Utaenda kuwalishaa mawee??? Huyo mwanaume mwingine unadhani atakubali kubeba mizigo yakoo[emoji23][emoji23] Sema kama una kazii usingle mazaa unauwezaa na huwa mnakuwa na kiburiii mkiwa na kikazii tu oohoo
 
Mimi ni mpambanaji Sana wataishi tu maana Hadi kuzaa nimeshajiandaa kwa yote, na pia nikishakuwa na watoto yakibuma staki serious relations nalea watoto wangu huyo kipoozeo tukutane huko mbali kabisa sio kuwaletea kwa wanangu. Priority kubwa kwangu ni watoto na kufanya kazi kwa bidii basi.
 
Back
Top Bottom