Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

Huyo unaweza kumshauri hivi, kaebkimya ndani na ajitafakari nje kugumu, kuna wanaume wakuruka ruka nao tuu sio waoaji, sasa kama kashapata mume na anajitia uhasama na kabintibka mumewe bila ya sababu amuone Munngu kwanza kabla hajafanya uwo utumbo wake.
 
Umezungumza mengi mazuri lakini dhamiri yako haikusuti kuwa nafanya dhambi kutesa kiumbe kisicho na hatia halafu kila jumapili unaenda kanisani?
Unasema kila mtoto akae na mamaye je kama mamaye amekufa? Au kama mume wa huyo mamaye naye anasema kila mtoto akae na babake?
Mateso mengi ya watoto ni matokeo ya baba zao hasa wa mijini kukubali kupandwa vichwani na wake zao ndio maana hata mama wazazi wa hao wanaume hunyanyaswa au kutopewa misaada kwa sababu tu hawatakiwi na wake zao. Ila kama mwanaume anajua kuwa anatawaliwa na mkewe basi awe na ujasiri wa kutomleta mtoto aliyezaa nje hapo nyumbani.
Mtoto akishazaliwa lazima atunzwe inavyopaswa bila kujali amezaliwa nje ya ndoa au ndani.
Ni wapi nimesema nitatesa mtoto, mbona unanilisha maneno?
Hata Kama naenda kila siku kanisani hyo sio tija ya kuniforce niishi na mtoto wako uliyezaa kwa uzinzi wako why I force nikae naye Mimi Niko busy na kutafta hela uniongezee Tena mzigo hyo biashara kichaa sifanyi.
Hyo ya mamake kufa Mimi inanihusu Nini Sasa kufa ni lazima kwa binadamu yoyote kabla ya kuzaa inabidi ujipange sio kuzaa bila malengo then lawama uwatupie wengine. Mungekuwa mnajielewa mnadumu na mama zao Sasa nyie kukosa self control mnataka tuwabebee mizigo yenu, mtu hata Kama malaika unafikiri anaweza penda mtoto wa mwingine sawa na wa nje uliyezaa hata Kama hamutesi, acheni ubinafsi kuzaa hovyo na kuja kutesa watoto wakikosa upendo wenu wa wawili.
Na pia kwanini nigharamike kulea mtoto wa mwanamke mwingine yeye anakula raha huko hafu kaja nidampia mtoto wake Mimi nipoteze mda vitu ambavyo ningewapa wanangu nimugawie yeye hyo never on me.
Hafu nyie si ndo hampendi watoto wa single mother, Mimi na uvivu nijikute tu naelea mtoto wa mwanamke mwenzangu jinsi ulezi ulivo kazi na huu uvivu wangu Sasa kah.
NB: Mimi Sina roho mbaya yoyote na ninachukia watu wanaozaa hovyo na kuja kuwatesa watoto wao kisaikolojia ku force walelewe na mama wengine wakati mama zao wako hai.
 
Sikuwa na maana kuwa ni wewe unayetesa mtoto. Nilitia maoni ya jumla tu. Lakini maneno yako umesisitiza kuwa huwezi kulea mtoto wa mwanamke mwingine, lakini kabla hujaolewa huyo anayekuoa amekueleza juwa ana mtoto wewe msimamo wako wa kutoishi na mtoto wa nje wa mumeo unapaswa uueleze kabla hamjaoana hata ikibidi msioane. Lakini kwa kuwa ndoa nyingi siku hizi ni ndoa nyonyaji watu wameingia kuchuma au kwa sababu za kiajira ndio maana hamuwezi kuchora red line kabla ya kuoana na ikajulikana upande wa pili.
Pia usisahau kuwa siku hizi majukumu karibia yote yanafanywa na mahousegirl hivyo mtoto wa nje na wa ndani ya ndoa hawahudumiwi sana na wake wa ndoa ambao wako busy kutafuta pesa.
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Huyo mwanamke Ni mpumbavu sana tena ana mapepo.
Yaani kumbe alishaambiwa mapema na munewe Kama ana mtoto,kwanini asikatae kuolewa tangu mwanzo!?
Nimejikuta naumia Sana[emoji26]
Wanaume tafadhali msioe wanawake wenye roho za kishetani wanaowatesa watoto wenu wa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me nachojua mateso kwa huyo mtoto hayatoenda bure na ukae utambue hilo Mungu atayalipa hapa hapa duniani,yani nimepatwa na hasira Natamani hata ufe mda huu mwanamke wew...
 
Halaf wanawake wa namna hiyo huwezi wadhania huko nje
 
Aiaee ningekuwa mimi huyo Mwanamke hata nampenda vipi lazima aondoke yeye kwa namna yoyote ile.
 
Ndio maana Mimi hupenda mtoto alelewe na mamake atleast afikishe umri wa kujitambua ka fourtenn hivi ndo aende kwingine, Sasa wanaume mnazaa hovyo mnategemea Mana mwingine ampende mwanao huo ni ukichaa mkubwa, acheni kutesa watoto, kikawaida binadamu wenye upendo wa kweli wameisha, na hata ukiwa na upendo huwezi linganisha na upendo wa mtoto wako tumboni lazima tu ubague, I prefer kila mtu alelee mtoto had awe mkubwa, kila mtu ashinde mechi nyumbani kwake.
Kuna technical error huwa zinatokea hadi wazazi wanashindwa kuishi pamoja na kumlea mtoto. Kikubwa ni kuwa mkweli ndani ya nafsi kama umemkubali mwanamme na unajua ana mtoto kwanini baadae umgeukie mbogo mtoto! Si ulikuwa na option ya kukataa kuolewa na uendelee kumsubiri huyo asie na mtoto? Roho mbaya haijengi, ukimchukia mtoto wa mmeo asie na tatizo kitabia am sure hata ndugu zake pia utawachukia sasa utaishije kwenye hiyo ndoa ambayo unataka uwe wewe na mmeo tu?

By the way hivi we dada mbona unaonekana mgomvi sana, mahusiano yako hua unayaendeshaje, maana nikiangalia vichwa vya wanaume tulivo less sioni mtu wa kukaa na wewe kwenye mahusiano hata masaa 48
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Mim hata sjasoma "comments " za watu wengine ila mim namshauri tu kwa kuwa anaonekana umri wake ni mdogo sana na bado ndio ana miezi minne tu kwenye ndoa apige magoti chini amuombe Mungu msamaha kwa hayo maneno aliyotamka juu ya huyo mtoto baaaasi. vingine vyote vitakaa sawa baada ya toba ya msamaha.
 
mbona simpo tu aombe taraka akaolewe na mwanaume ambae hana mtoto
 
Roho mbaya sana hiyo mtoto wa miaka mitano anajua kaz zote loh aache kutesa mtoto
 
Mim hata sjasoma "comments " za watu wengine ila mim namshauri tu kwa kuwa anaonekana umri wake ni mdogo sana na bado ndio ana miezi minne tu kwenye ndoa apige magoti chini amuombe Mungu msamaha kwa hayo maneno aliyotamka juu ya huyo mtoto baaaasi. vingine vyote vitakaa sawa baada ya toba ya msamaha.
Watu kama hawa hawakumbukagi ata kutubu mkuu .
 
Kapime mimba,
Inawezekana una mimba na ndio inapelekea kuchukia Chukia vitu bila sababu.

Na inawezekana ukazaa mtoto wako akafanana kabisa na huyo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi hili la mimbia ndio kuwa sababu ya kuchukia watu ni kweli au ndio maigizo tu ya wanawake binafsi siamini hii kitu
 
Ni kweli kabisa kaka.

Wanawake watatoa ushuhuda kwa hili
 
Mimi nikiondoka nabeba wanangu siachi nyuma nimwachie mwanaume watoto ili iweje, Mimi naenda mbele na watoto siachi nyuma kamwe, na huyo mwanaume apambane azae na huyo mwanamke mpya
Unaenda kwa mwanaume mwingine na watoto wako mwanaume analawiti watoto wako..haya mambo sio ya kujiapiza kabisa...
 
Una mapepo( a.k.a mashetani) kimsingi TUBU utakufa kifo cha Mateso sana kwa ajili ya ushuhuda huo mtoto miaka 5 tena umemkuta, ina maana uliolewa kinjaa sana.

Kifupi baada ya kusoma comment nenda chumbani Omba Msamaha kwa kumkosea huyo mtoto.

Ukipuuza humalizi mwaka hata kama mmeo anakupenda utaanza kuonja machungu .
Narudia Omba msamaha , unaenda kuingia mateso ya ajabu wala hatakuachia kirahisi
 
Back
Top Bottom