Mtu akikuomba ushauri kwa jambo kama hili utamjibu nini?

N roho mbaya tu zinawasumbua
Nyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?
 
Huyo mwanamke anashida ya ziada ya ndani zaidi, hawezi kuji-control. Siyo yeye hasa, anahitaji msaada wa kiroho ndiyo maana akishamkosea mtoto anajisikia vibaya
 
Unamlazimisha mtoto kula mpaka kuvimbiwa!! Mtoto mdogo anakuzidi akili kwa heshima anazokupa! Najisikia vibaya kwaunavyomfanyia huyo mtoto! Mtoto asitengane na baba yake ila wewe mwanamke fungasha virago haraka sana na ukatubu.
 
Nyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?
hivi cariha huyo mtt anakosa gan hadi umtese na mara nyingi sisi wanaume hatufichi mtu anakwambia ctaki kuowa kwa kuhofia mwanangu atateseka ww unaaidi utachukua nafac ya mamake tena wkt unataka kuingia kila cku unamuulizia na zawadi unampa ukishaingia tu unaanza kumtesa mtt huwo cuwaji km nimakosa ni ya bb yake co mtt
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Duu !
Kitendo anachofanya ni cha kikatili ambacho kinaathari za moja kwa major katika makuzi mema ambayo baba ameyatengeneza kwa ajili ya mwanaye.
Ana njia mbili za kusaidiwa moja ni kumwambia mumewe kuwa siwezi ishi na huyu mtoto ili baba aamue njia nzuri ya kuendelea kumuendeleza mtoto pasipo kuathirika.
Mbili ni kumlea mtoto katika misingi ileile ambayo baba wa mtoto anapenda alelewe pasipo kumfanyia vitendo vya kikatili kwani hii ndio salama ya ndoa take kwa kuwa alikubali kuolewa akiwa anajua anajukumu la kulea mtoto.
 
Ndo mujue watoto wenu wanavyoteseka mbele ya mams zao wa kambo
 
hivi cariha huyo mtt anakosa gan hadi umtese na mara nyingi sisi wanaume hatufichi mtu anakwambia ctaki kuowa kwa kuhofia mwanangu atateseka ww unaaidi utachukua nafac ya mamake tena wkt unataka kuingia kila cku unamuulizia na zawadi unampa ukishaingia tu unaanza kumtesa mtt huwo cuwaji km nimakosa ni ya bb yake co mtt
Mimi binafsi siwezi tesa mtoto wa mtu na tangia mwanzo tunawekana wazi kabisa mwanao akae kwa mamake Hadi ajitambue akifika hata secondary sio kuniletea Mimi mtoto mdogo naweza nisimtese Ila mama aliye mzaa bado ni best mom na atakuwa na uchungu, hata wewe huwezi mpenda mtoto asio wako ka utakavopenda damu yako, hata wadungu hauwezi kuwa wazi.
Na wanawake wengi hudaganya leta nikulelee mwanao ili usiwasiliane na mama watoto na wanafikiri huko ku chart mtapasha kiporo na gharama Mara mbili. Na wengi wa hvo ni wanafiki maana Kuna mawivu, so wewe uliambiwa mlete na wewe wakubali.
Na wengi wanaume ukiwa na mwanamke huwa mna force awapende watoto wenu Sasa wengi hufeki,. Eeh Kuna wanaume wanalea watoto wao wenyewe wanasema Hadi mtoto akue ndo alete mwanamke hao nawaheshimu wamescrifice mahusiano kisa watoto wasiteseke Sasa nyie mnaoa ili msaidiwe ulezi unategemea Nini.
Mimi Bora nilee yatima kuliko mtoto mama yake anakula raha ana mwachia mwanaume mtoto alee mtoto pekee yake yeye hamkumbi mtoto hata nguo kisa babake kamchukua na mama wa kambo uhangaike huo si wendawazimu na watoto wa hivi hata uwapende vipi na hata ukiwakanya kiupendo wataona tu unawaonea huna upendo maana wameshaathirika kiakili siku nyingi
 
Nyie mnaofungua zipu hovyo ndo hamjielewi kila siku nashuhudia watoto wakiteseka kulelewa na wazazi wasio wao, na nyie mlivo wajinga mnaforce watoto wenu walelewe na watu wakuja unafikri ana uchungu?
Hapa mantiki IPO katika utu ukiachana na mtoto kapatikana kwa njia IPI!!! Mtoto hana kosa kwanini umsulubu???kujitafutia dhambiiii za bureee na laana bila sababu za msingi
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Ukweli Maneno unayoyasema roho imenima hata cjayamaliza kusoma unaroho ya kishetani sana we mwanamke ipo siku utamuua huyo mtoto yani kwanza haendani na nyie ki VIP wakat huo ww hata hujazaa unajuaje mungu akikupa kilema na utamnyanyapaa kama unavyo Fanya?
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Nimejikuta naumia roho mnoo, huyo mwanamke sijui ana roho gani, kama anaona hawezi kuishi na huyo mtoto aondoke yeye ila sio kumkosesha mtoto mapenzi na haki ya kulelewa na baba yake

Kabla hajaolewa aliambiwa kuna mtoto, sasa amebadikika hampendi mtoto

Ningekuwa mimi ningemshauri asepe maana yeye ni mtu baki tu ila mtoto ni damu halali ya mume, tena asepe mapema asije akamdhuru huyo mtoto
 
Hapa mantiki IPO katika utu ukiachana na mtoto kapatikana kwa njia IPI!!! Mtoto hana kosa kwanini umsulubu???kujitafutia dhambiiii za bureee na laana bila sababu za msingi
Na kwanini baba u force mtoto wako apendwe na mtu asiye mamake, hivi vtu vya ku force ndo huwaumiza watoto, watu wazima hamjali hisia za mtoto, zaidi ya ubinafsi tu
 
KILA NIKIMUONA MTOTO WA MUME WANGU NAHISI KUCHANGANYIKIWA!

Kaka naomba tu unisaidie maana najikuta nashindwa haya maisha. Mimi nimeolewa ndoa yangu ina miezi minne sasa. Wakati nakutana na huyu mchumba wangu aliniambia kabisa kuwa ana mtoto ambaye amezaa na mwanamke mwingine, alishaachana na mwanamke na kaolewa hivyo yeye anaishi na mtoto wake kwani hataki mtoto wake kulelewa na Baba wa kambo.

Basi mimi sikua na shida, nilikua naenda kwake, namuona mtoto lakini wakati huo hata sikuona kuwa ni tatizo kwakua nilikua bado sijaolewa. Lakini Kaka baada ya kuingia kwenye ndoa, kuanza sasa kuishi na yule mtoto ndiyo sijui naonaje, mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Katoto ni kakike, lakini ana sura ya Baba yake, yaani sijui nikuambieje Kaka, sio kwaba ni mtoto mabya, siwezi kusema hivyo lakini hatuendani naye kabisa.

Rafiki zangu wakija kunisalimia inabidi niseme tu ni mtoto wa ndugu yake na mume wangu lakini si mtoto wa mume wangu. Mtoto ana miaka mitano, ana akili, kachangamfu anajua kila kazi na ananiheshimu. Yaani kangekua katoto kazuri ningekapenda balaa kwani kana heshima sijui nikuambieje Kaka, lakini shida nashindwa, nikimuangalia wakati mwingine najiikuta na hasira tu nampiga hata bila sababu.

Hali hiyo inaniumiza kwani mwisho kanakuja kuniomba msamaha wakati hata hana kosa. Yaani kuna vitu vingine najikuta nagomba mpaka basi, nakua tu na chuki na mtoto. Wakati mwingine namfanyia visa tu ili kumpiga, mfano juzi nilimuwekea chakula kingi makusudi ili aache kula, basia liacha nikajikuta nampiga kuwa anachezea chakula basi nikamlazimisha kula na kweli alikula lakini alishindwa hata kunyanyuka yaani anapepesukapepesuka ila alimaliza na kuosha vyomboa akaosha.

Nilijisikia vibaya kwani sikupata faida yoyote, hali hii inanifanya nakua na kisirani, nakua mtu wa hasira hata kwa mume wangu. Sababu ya kuja kwako Kaka ni hivi, nataka kuongea na mume wangu amuondoe huyu mtoto ampeleke kwa Bibi yake. Mume wangu wazazi wake wamefariki lakini ana ndugu wengine, kuna Baba mdogo wake na wengine tu ambao wana uwezo.

Sio kama si mtaki moja kwa moja lakini aondoke tu ili niwe sawa maana nahisi naweza kumuua huyu mtoto. Shida ni kwamba mume wangu anampenda sana mtoto na kwakua yeye alilelewa na ndugu baada ya wazazi wake kufariki basi anasema kuwa mwanae hawezi kulelea na mtu mwingine yoyote na aliniambia kabla hata hatujaanza mahusiano, nisaidie kaka nifanye nini maana nahisi kuchanganyikiwa.

Je kama ni wewe ndio unaombwa ushauri kama huu, utamjibu nini, utamuacha salama kweli?
Ningekuwa mm ningemzaba makofi maana tayar ameshas3ma asije akakaua huyu mama ana roho ya kifiraun
 
Anyway point yako nailewa lakini naomba nikupe changamoto moja,imagine wewe una watoto umezaa na mumeo/mwanaume yoyote yule,

ya mungu ni mengi ikatokea ukafa wale watoto ukawaacha bila mama,kwa comments zako hizi unafikiri/ungependa watoto wako wafanyiwe ukatili kwakua hawalelewi na mama yao aliewazaaa???

Binafsi nazungumzia utu,mtoto hana kosa lolote why umtese???? Utakuta mdada mashallah ni mzurii ila anaroho mbaya kama nungunungu!!
Na kwanini baba u force mtoto wako apendwe na mtu asiye mamake, hivi vtu vya ku force ndo huwaumiza watoto, watu wazima hamjali hisia za mtoto, zaidi ya ubinafsi tu
 
Anyway point yako nailewa lakini naomba nikupe changamoto moja,imagine wewe una watoto umezaa na mumeo/mwanaume yoyote yule,

ya mungu ni mengi ikatokea ukafa wale watoto ukawaacha bila mama,kwa comments zako hizi unafikiri/ungependa watoto wako wafanyiwe ukatili kwakua hawalelewi na mama yao aliewazaaa???

Binafsi nazungumzia utu,mtoto hana kosa lolote why umtese???? Utakuta mdada mashallah ni mzurii ila anaroho mbaya kama nungunungu!!
I think there is misconception between us, Mimi napinga ukatili wa aina yoyote sio watoto hata watu wengine wazima walio vulnerable kwa jamii.
Mimi nikifa kabisa wosia wangu wanangu walelewe na ndugu zangu wa damu sio kuacha watoto wangu kwa mwanaume maana huwa hamna uchungu na watoto upande wa ubaba Ila ujombani Wana uchungu na kukuendeleza. Mwanaume baada ya Mimi kuondoka lazima ataoa kwanini wanangu waje kupata shida na kuathirika kisaikolojia maana huyo mama hata ajitahidi vipi hawezi wapenda ka Mimi na lazima afanye figisu ili watoto atakao zaa wapendwe kuliko wangu, na silaumu it's human nature we are selfish tunapenda vyetu na sio vingine.
So unyanyasi naupinga Ila kuzaa ukitegemea mpenzi mpya akulelee mwanao kwa usawa na ku force kuwapenda wanao ni unafiki.
 
Na jamaa kaoa mwanamke ana roho mbaya kama mchawi

Unapiga mtoto bila kosa,serious????????

Lilikuwa linataka ndoa ili likalete matatizo kwenye maisha ya watu ....

Senge kabisa
 
Ndio maana Mimi hupenda mtoto alelewe na mamake atleast afikishe umri wa kujitambua ka fourtenn hivi ndo aende kwingine, Sasa wanaume mnazaa hovyo mnategemea Mana mwingine ampende mwanao huo ni ukichaa mkubwa, acheni kutesa watoto, kikawaida binadamu wenye upendo wa kweli wameisha, na hata ukiwa na upendo huwezi linganisha na upendo wa mtoto wako tumboni lazima tu ubague, I prefer kila mtu alelee mtoto had awe mkubwa, kila mtu ashinde mechi nyumbani kwake.

Roho mbaya[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sasa unakubali kuolewa kwanini
 
Back
Top Bottom