Napenda sana maswali yako, min -me , inaonyesha unauliza kwa lengo la kujua na sio kupinga tu.Aliwaombea watesi wake kwa nani wakati umedai tena Yesu ni Mungu?
Je katika utafiti wako uliwahi gundua kitu kuhusu hii Dhana ya utatu ? Je unajua nini ukisikia baraza la nicaea (325) chini ya mfalme costantine?Napenda sana maswali yako, min -me , inaonyesha unauliza kwa lengo la kujua na sio kupinga tu.
Yesu aliwaombea watesi wake kwa Baba.
Yesu alipokuwa duniani alikuwa Mungu Mwana aliyevaa mwili.
Ingawa Yesu ni Mungu, alipouvaa mwili wa kibinadamu, aliishi kama mwanadamu kamili, na kwa unyenyekevu alijinyenyekeza chini ya mapenzi ya Baba.
(Yohana 1:14 – “Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu…")
(Wafilipi 2:6-8 – “…Alijinyenyekeza, akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba.”)
Maombi yake ni mawasiliano kati ya Nafsi za Utatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu.
Yesu aliposema, “Baba, uwasamehe…” (Luka 23:34), hakuwa anazungumza na nafsi yake, bali alikuwa anazungumza na nafsi ya Mungu Baba, ndani ya ushirika kamili wa Utatu.
Hii inathibitisha Utatu Mtakatifu.
Nimegundua kuwa dhana ya utatu (Trinity) ni moja ya mafundisho muhimu katika imani ya Kikristo, na ndiyo inayoelezea uhusiano kati ya Mungu Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Utatu unasisitiza kuwa ingawa Mungu ni mmoja, anajidhihirisha kwa nafsi tatu ambazo ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.Je katika utafiti wako uliwahi gundua kitu kuhusu hii Dhana ya utatu
Unasafari ndefu sana ya kukijua unachokiamini .Nimegundua kuwa dhana ya utatu (Trinity) ni moja ya mafundisho muhimu katika imani ya Kikristo, na ndiyo inayoelezea uhusiano kati ya Mungu Baba, Mwana (Yesu Kristo), na Roho Mtakatifu. Utatu unasisitiza kuwa ingawa Mungu ni mmoja, anajidhihirisha kwa nafsi tatu ambazo ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Dhana hii inatokana na mafundisho ya Biblia. Ingawa neno "Utatu" halipo moja kwa moja katika maandiko, madhumuni na muktadha wake yanapatikana kwa mfano katika Mathayo 28:19, ambapo Yesu anawaagiza wanafunzi wake kubatiza kwa jina la Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu.
Baraza la Nicaea lilikutana kwa malengo mengi. Moja ya lengo ni kuthibitisha na kuweka wazi mafundisho ya imani ya Kikristo kuhusu utatu wa Mungu.
Okay?
Wewe unaongea imani yako na sio hoja , yani ni sawa upo ndani ya box ila unataka kujifunza nje ya box 📦 kuna kitu gani na limeundwa na nini, hali uliyo nayo naijua sana.Usianze sasa kuongea kama wale wasio na hoja. Mimi nimekujibu vema; weka hoja zako na wewe nijue umefika juu ya kilele cha safari yako au la.
Contradiction nyingi, yesu/ Mungu anasema mpende adui yako, mfanyie mema aliyekuosea. Sasa moto wa milele wa nini wakati kaisha sema tukimfanyia mabaya yeye atatusamehe na kutulipa mazuriAliwaombea watesi wake kwa nani wakati umedai tena Yesu ni Mungu?
Lazima iwe hivyo kwa sababu biblia imeandikwa na watu tu .Contradiction nyingi, yesu/ Mungu anasema mpende adui yako, mfanyie mema aliyekuosea. Sasa moto wa milele wa nini wakati kaisha sema tukimfanyia mabaya yeye atatusamehe na kutulipa mazuri
Ndio maana nikakuambia hoja zako zina mnyororo wa kiimani , yote unayoyasema ni kwa imani tu hauwezi Thibitisha chochote.Hoja ni nini? Define, tuanzie hapo
Hii inahitaji akili uifungie kabatini, lasivyo utagombana na akili yako.🤣🤣🤣 Inabidi uongozwe na imani pekee.Yesu ni Mungu. Ndiye aliyetuumba. Alipotukanwa alikuwa na uwezo wa kuwafanyia chochote waliomtukana au kumdhihaki, lakini hakufanya hivyo. Ametuachia kielelezo tufuate nyayo zake(1 Petro 2:21).
Unamaanisha Mjomba Yesu ndio Mwenyezi Mungu, huyu Yesu si nimtoto wa dada Mariam huyu.Kuna watu ama kwa maksudi au ujuaji wao binafsi wanapinga uwepo wa Mwenyezi Mungu.
Ole wao ..
Unajichanganya sana, mkuu. Umepiga "kilauri"?Ndio maana nikakuambia hoja zako zina mnyororo wa kiimani , yote unayoyasema ni kwa imani tu hauwezi Thibitisha chochote.