Mtu akikutukana, usimrudishie tusi -Aliyetuumba ameonyesha mfano

Mtu akikutukana, usimrudishie tusi -Aliyetuumba ameonyesha mfano

Ni wewe hapo 😀
"Kwa maana Yohana Mbatizaji alikuja, hali wala hanywi; wakasema, Ana pepo. Mwana wa Adamu alikuja, anakula na kunywa; wakasema, Tazama, mtu mlafi na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi!"(Mathayo 11:18–19).

Setfree naye amekuja, ameleta hoja za kweli, wanasema ni mbishi.
 
hiyo ni hoja au una quote tu randomly verse kwenye bible ambavyo haviendani na mada.

Hiyo verse ina prove nini
 
Na hili ndio tatizo lake kubwa mno yeye kazi yake copy quote na ku paste
Neno limejaa kwa wingi moyoni mwangu.

Kol 3:16-17
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu...

Neno likijaa ndani yako, utajua ni Neno gani linalofaa kwa kila situation.
 
Unamaanisha Mjomba Yesu ndio Mwenyezi Mungu, huyu Yesu si nimtoto wa dada Mariam huyu.
Acha dhihaka, ndugu
Wagalatia 6:7-8
Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi...
 
Unasafari ndefu sana ya kukijua unachokiamini .
Kuna mzee mmoja huwa haeleweki, Mara MUNGU hayupo, Mara MUNGU yupo, yaani haeleweki, sababu kubwa ni kwamba anaupanua sana ubongo wake kutafakari Mambo ya kiimani na kuhusisha maisha halisi. Atheist yoyote anatakiwa kudeal na nature tu pasi na kuhusisha Mambo ya kiimani la sivyo ni uwendawazimu.

Kama unapinga Imani Kwa hoja za kiimani wewe pia ni mwendawazimu, maswala ya kiimani si ya kubishana Kwa hoja, kwasababu ya neno lenyewe Imani.

Mambo ya kiimani ni Mambo magumu sana, kila mtu abaki na Imani yake
 
Back
Top Bottom