Hiyo ni maana ya imani kwa mujibu wa maneno ya imani , kilauri napiga ila haiwezi nitoa kwenye akili yangu , ndio maana nikakuambia ukiwa na uhuru wa kifikra tuje tujadiliane tenaUnajichanganya sana, mkuu. Umepiga "kilauri"?
Mwanzoni umesema naongea imani siongei hoja. Sasa unasema hoja zangu zina mnyororo. Duh.
Kwa taarifa yako imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana(Ebr 11:1-3)
Swali lolote litakaloulizwa na akili yako halitakuwa jipya. Almost maswali yote yanayosumbua akili za watu yalishaulizwa miaka mingi iliyopita na yana majibu tayari.Hii inahitaji akili uifungie kabatini, lasivyo utagombana na akili yako.🤣🤣🤣 Inabidi uongozwe na imani pekee.
Wakati ule alikuwa amevaa mwili wa kibinadamu lakini hilo halikuondoa Uungu wake. Mjomba wako anaweza kufufua wafu? Mjomba wako anaweza kutembea juu ya maji? Mjomba wako anaweza kugeuza maji yakawa divai? Mjomba wako anaweza kupaa mbinguni?Unamaanisha Mjomba Yesu ndio Mwenyezi Mungu, huyu Yesu si nimtoto wa dada Mariam huyu.
Kabla ya kuendelea na chochote Thibitisha uwepo wa MunguMbona nimeishakuambia eleza hoja zako na mimi nijue umefika kileleni au la, ukasema nimejifungia kwenye box!
Hiyo sio contradiction, ni maelezo tu ya sifa mbili za Mungu:Contradiction nyingi, yesu/ Mungu anasema mpende adui yako, mfanyie mema aliyekuosea. Sasa moto wa milele wa nini wakati kaisha sema tukimfanyia mabaya yeye atatusamehe na kutulipa mazuri
Ndio maana nikakumbia bado una safari ndefuHiyo sio contradiction, ni maelezo tu ya sifa mbili za Mungu:
1. Mwenye rehema kwa wanaotubu,
2. Atakayewahukumu wanaokataa kutubu.
Mungu hajasema: “Ukimpenda adui yako, basi sitahukumu uovu.” Anasema: “Mimi nawapa muda, nawavumilia, nawapa nafasi ya kutubu. lakini ikifika mwisho bado tu wanakataa kutubu, ni lazima wataingia motoni."
Ndio anawezankufanya yote hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Hata Yesu alifanya hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu sio uwezo wake.Wakati ule alikuwa amevaa mwili wa kibinadamu lakini hilo halikuondoa Uungu wake. Mjomba wako anaweza kufufua wafu? Mjomba wako anaweza kutembea juu ya maji? Mjomba wako anaweza kugeuza maji yakawa divai? Mjomba wako anaweza kupaa mbinguni?
Inaonekana nyuzi zangu huwa unakwepa kuzisoma. Please, search threads zangu. Nimethibitisha sio mara moja humu mambo aliyonitendea Mungu yanayodhihirisha wazi Mungu yupo. Nimeishaeleza jinsi nilivyopona magonjwa 100+ kwa uweza wa Mungu. Nimeishaeleza jinsi nilivyowasambaratisha majambazi kwa kutamka tu Jina la Yesu. Nimeishaeleza jinsi nilivyopata mapesa kwa muujiza wa Mungu. Nimeishaeleza jinsi shetani alivyoniijia usiku, nikamfukuza kwa Jina la Yesu. Nimejazwa Roho Mtakatifu, ninanena kwa lugha. Hayo yote ni uthibitisho wangu binafsi kuwa Mungu yupo.Kabla ya kuendelea na chochote Thibitisha uwepo wa Mungu
Huna hoja madam zaidi ya kuongelea biblia tu ambayo msingi wake ni imani tu.Hoja hupingwa kwa hoja. Pangua hoja hizo acha kuzunguka mbuyu
Hearsay sio hoja, zaidi zaidi ni uchawa tu. We ulikuwepo Mungu akivaa mwili na kuwa mtu? Umeona wapi? Huo muujiza wa kusimuliwa wa mtu kutembea juu ya maji na ndege iliyobeba mamia + cargo kupaa angani na kutua salama kipi ajabu?Hoja hupingwa kwa hoja. Pangua hoja hizo acha kuzunguka mbuyu
Hivi una akili kweli au ni ugumu wa maisha tu unakusumbua? Naomba usinielewe vibaya mkuu?Inaonekana nyuzi zangu huwa unakwepa kuzisoma. Please, search threads zangu. Nimethibitisha sio mara moja humu mambo aliyonitendea Mungu yanayodhihirisha wazi Mungu yupo. Nimeishaeleza jinsi nilivyopona magonjwa 100+ kwa uweza wa Mungu. Nimeishaeleza jinsi nilivyowasambaratisha majambazi kwa kutamka tu Jina la Yesu. Nimeishaeleza jinsi nilivyopata mapesa kwa muujiza wa Mungu. Nimeishaeleza jinsi shetani alivyoniijia usiku, nikamfukuza kwa Jina la Yesu. Nimejazwa Roho Mtakatifu, ninanena kwa lugha. Hayo yote ni uthibitisho wangu binafsi kuwa Mungu yupo.
Ukitaka uthibitisho wa wasomi wenzako. Soma vitabu vya aliyekuwa mbobevu wa Atheist: C.S. Lewis
Ukitaka uthibitisho wa kihistoria, soma historia ya Israeli iliyoandikwa na mwanahistoria secular(Tacitus)
Uumbaji wenyewe unathibitisha uwepo wa Mungu. Ukiona vyaelea vimeundwa!
Niendelee?
WEWE SASA THIBITISHA KUWA HAYUPO
Hiyo hoja ni ya kawaida sana, inayotolewa na watu wanaoona kwamba Yesu ni mtume tu lakini sio Mungu.Ndio anawezankufanya yote hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu. Hata Yesu alifanya hayo kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu sio uwezo wake.
Hakuna unachosema cha maana mkuu , ndio maana nimebidi niulize hali yako ya maisha kwanza🤔Hiyo hoja ni ya kawaida sana, inayotolewa na watu wanaoona kwamba Yesu ni mtume tu lakini sio Mungu.
Ndugu yangu, ukisoma Biblia kwa mapana, utaona ushahidi mwingi kwamba Yesu ni Mungu aliyevaa mwili. Ngoja nikudadavulie hapa hoja zenye msingi wa Maandiko:
1. Yesu alisema Yeye ni Mungu
Yesu alisema mambo ambayo kwa Wayahudi ilikuwa ni sawa na kuchukua nafasi ya Mungu, ndiyo maana walitaka kumpiga mawe:
Kwa mfano alisema: "Mimi na Baba tu umoja."
— Yohana 10:30
Wayahudi walipotaka kumpiga mawe, walisema:
"...kwa sababu wewe, uliye mwanadamu, wajifanya kuwa Mungu."
— Yohana 10:33
2. Yesu alisamehe dhambi — Jambo linalofanywa na Mungu tu
“Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu ana mamlaka duniani ya kusamehe dhambi...”
— Mathayo 9:6
Wayahudi walishangaa kwa sababu waliamini ni Mungu tu anayeweza kusamehe dhambi.
3. Yesu aliitwa Mungu na wafuasi wake — na hakuwakemea
“Tomaso akajibu, akamwambia, Bwana wangu na Mungu wangu!”
— Yohana 20:28
Kama Tomaso angekuwa amekosea kumwita Yesu Mungu, mbona Yesu hakumkemea kwamba amekosea — alikubali.
4. Yesu alikuwa na asili ya ki-Mungu hata kabla dunia haijaumbwa
“Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu... Neno akafanyika mwili, akakaa kwetu.”
— Yohana 1:1, 14
5. Wanaokana Yesu kuwa ni Mungu wana kikomo cha uelewa
Yesu alifundisha kuwa wale wasioamini kwamba yeye ni Mungu, hawamjui Baba pia:
“Kama hamuamini mimi ni Yeye, mtakufa katika dhambi zenu.”
— Yohana 8:24
“Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba.”
— Yohana 14:9
6. Yesu alifanya miujiza kwa nguvu yake mwenyewe
Marko 4:39
"Akaamka, akaukemea upepo, akaiambia bahari, 'Nyamaza, utulie!' Upepo ukakoma, kukawa shwari kuu."
Yesu hakusema "kwa jina la Baba," au "kwa jina la Mungu," — alisema kwa amri yake mwenyewe, na bahari ikamtii. Hii ni ishara ya kuwa yeye ni Muumba mwenyewe.
Sikiliza tena anavyosema katika
Yohana 10:17-18
"Kwa sababu hii Baba anipenda, kwa kuwa nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi mwenyewe nautoa. Ninao uwezo wa kuutoa, tena ninao uwezo wa kuutwaa tena."
Hapo Yesu anaonyesha anafanya kwa hiari yake mwenyewe, na tena ana uwezo wa ki-Mungu wa kufufuka — jambo ambalo hakuna mwanadamu yeyote anaweza kulifanya kwa nguvu zake mwenyewe.
Huo ni uthibitisho wa wazi kuwa Yesu hakutegemea tu nguvu ya Baba, bali alikuwa na mamlaka na uwezo wa kipekee wa Mungu Mwana. Umenipata mkuu?
Onyesha usomi wako, please. Acha kujibu hoja namna hiyo. Nimekupa personal testimony. Unasemaje ni hearsay? Hayo mengine nimekutajia tu ili kama ushuhuda wangu binafsi hutaki kuukubali basi uamini ushahidi wa wengine. Kumbuka Tacitus alikuwa mpagani, na ndiye aliyeandika historia na kuthibitisha kuwa Yesu alikuwepo duniani.Hearsay sio hoja, zaidi zaidi ni uchawa tu.
Soma post #37. Nimetaja mambo aliyoyafanya Yesu ambayo mwanadamu wa kawaida hawezi kuyafanya. Kumbuka pia Yesu alizaliwa na bikira Mariamu. Yusufu hakuhusika kabisa.We ulikuwepo Mungu akivaa mwili na kuwa mtu?
Duh, Yesu alipaa mbinguni kwa kupanda ndege?ndege iliyobeba mamia + cargo kupaa angani na kutua salama kipi ajabu?
Na mimi ndio maana nimeanza kwa kukupa ushuhuda binafsi wa uwepo wa Mungu katika maisha yangu. Kama unapinga, thibitisha hayo niliyokuambia kwamba nimetendewa na Mungu niliyapata kwa njia gani nyingine.Hakuna unachosema cha maana mkuu , ndio maana nimebidi niulize hali yako ya maisha kwanza🤔