Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
nimetoka kumwambia mimi nipo jf toka 2008! hesabu ya haraka haraka ni almost 15 yrs. Jumlisha na umri nilikuwa nao by then! Tayari atapata jibu
 
Tuseme 20+15 hapo bado kijana tu
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Kikongweee huyoo....mbn mm napenda hlf nimezaliwa 1997 sasa mimi si tayari ni Mbaba au hata Mzee? Mzee ni heshima ukiitwa
 
Mmekuwa JF wakati sisi hatujui hata kama tutamiliki smartphones
 
Tupo age Alhamdulillah Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na atujaalie mwisho mwema. 🙏
 
Back
Top Bottom