Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Babu hataki watoto wabichi eti umri huu inabidi tuwe tunatubu dhambi zetu....labda nipaye zali kama la WOTP hapo sawa
😹😹😹 WOTP alimkimbia mstaafu chini kabeba mzigo wa ukoo mzima oohhh..!!

Mwambie babu akutumie ujiridhishe kabisa 🤣
 
Yawezekana ukongwe wa IDs pia,mtu yuko JF toka 2009,si mzee huyo?
Let's say 2009 binti alikuwa na miaka 22. Sasa hivi atakuwa na miaka 38. Hata kama amejitunza hajaolewa, hajazaa na bado anaishi kwao, tatizo liko wapi? Mbona mnataka kupangia watu maisha yao? Na miaka 38 mwanamke ndo anakuwa keshazeeka?😳
 
Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
muulizie uzee anawazingatia nn, ukomo wa hedhi au muonekano au mwaka wa kujiunga JF au kustaafu miaka 60
 

Attachments

  • Screenshot_20250825-165242.png
    Screenshot_20250825-165242.png
    687.3 KB · Views: 20
Ndo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
😁Dah madam umeichukulia personal sana!
 
Wadau vipi mnamzungumziaje ndugu #Reptilia maana kitambo toka 2017 Mpaka saiv dah so powa
 
Dah ngoja ni usabuskraibu huu uzi
maana inawekana kuna yajayo yakawa yanafuraisha so powa
 
Kuna wanawake humu tangu niingie JF miaka 13 iliyopita wapo humu .Sasa kama kipindi hicho alikuwa na miaka 30,kwa Sasa ni 30+13 ,Sasa Huu umri kwa mwanamke si ni uzee?
CC:Wote tuliosoma hesabu za login 🤔
 
Back
Top Bottom