Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

Nilipokuwa na miaka 20's ya mwanzoni nilikua naona mtu mwenye 30-40 kamili ni wakubwa sana hadi nilipo anza kuu karibia umri huo,🤣naona kama ni watoto tu, labda kuanzia 50 kamili 46 kuendelea Asee ni jua la jioni
 
Usaidia fundi ushaacha😂🫣😂🫣🤣🤣🤣
IMG-20250728-WA0375(1).jpg
 
Mtu mwenye uzoefu na maisha utamjua kupitia maandishi yake tu hapa jamvini na uzoefu huo ndiyo uzee wenyewe.
 
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .

Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.

Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.

Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Mfikirie member aliyejiunga JF 2007 sasa hivi atakuwa na miaka mingapi? Ukiangalia muda wa kujiunga unaweza kadiria umri wa mtu. Lakini pia kupitia nyuzi zake unaweza elewa ni wa Generation zipi. Unaona mtu anawapenda wanamziki wakina Dabrat, Jaydee, Naomi Campbell, Marry de Bride, R, Kelly unajua 1990s hadi early 2000s alikuwa kijana. Wazee tupo hata sisi wanaume
 
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .

Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.

Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.

Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
TULIA MAMA....TULIZANA! WANAOKATAA UZEE NI WALE AMBAO WAMEFELI MAISHA KWA NAMNA FULANI....MZEE ANAJULIKANA TU KWA NAMNA MBALI MBALI SI LAZIMA UMUONE KWA MACHO😁🤝🙌
 
Mtu anadai kipindi asha migiro ni naibu katibu wa UN alikua ashamaliza chuo yuko uraiani sasa huyo utamuweka wapi mkuu?


Fullstop,kwishaa
 
Nina miaka 44 ni mama mwenye mjukuu mmoja...siogopi uzee....uzee kwangu ni baraka.
Kama huogopi uzeeni mbona umeficha sura mkuu? Hujamanisha coz unajua hata ukisema hivo watu hawajui sura yako


Fullstop, kwishaa
 
Mbona Mimi siwajui wanawake humu nasoma nacomment na post ila kufahamu huyu ni mwanamke nahisi-gi woote humu ni wanaume (si kwa maana mbaya)
Kuna ndume zimeweka picha za wanawake alafu zinapinga ushoga inasikitisha san kwanini usiweke hata kiatu


Fullstop, kwishaa
 
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .

Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.

Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.

Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Na humu nina uhakika kuna watu wanatukanana na wazazi wao.
 
Back
Top Bottom