Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
Kwamba 😁😁😁Yamebaki masaa nane hii wiki iishe
Kwamba 😁😁😁Yamebaki masaa nane hii wiki iishe
Wiki flan watu wapo hot sanaKwamba 😁😁😁
Umeniacha njia panda ya himo 😎Wiki flan watu wapo hot sana
Hahaha....True story:
Mwezi uloisha majira ya night Kali katika moja na mbili nikakutana na Uzi flan wa 2007😃
Nikasema ngoja nifungue nione mawazo ya wahenga.... nilishtuka sana kukuta Kuna ID nazifaham na nimetoka kubishana nazo mda si mrefu, ndani ya huo Uzi wa wahenga zilikuwa active kutoa mawazo tena hoja za kiutu uzima😃😃
Yani humo kwenye 2007, 2008 tayari wadau wanazungumzia mambo ya viwanja, kujenga na ushauri wa ndoa...... ilibidi nirudi nikawaombe msamaha kabisa, maana unaweza pata laana kizembe
Imagine unamwambia Babu yako "Acha usenge...😂 kisa kamsifia mama Samia"
Hyo 2008 kama sijakosea nilikuwa la 3.... na kidumu mkononi😂
Humu kuna watu n wahenga tuwe makini kuzikwepa laana ndogo ndogo
Ilikua wiki yenye mchaka mchaka mwingi sana!Umeniacha njia panda ya himo 😎
Anhaa nimekupata haya nirudishe migombani 😁😀Ilikua wiki yenye mchaka mchaka mwingi sana!
Hayo ndio maneno sasa..Habari za saa hizi dada mkubwaNina miaka 44 ni mama mwenye mjukuu mmoja...siogopi uzee....uzee kwangu ni baraka.
Live it! Love it!Anhaa nimekupata haya nirudishe migombani 😁😀
🤗Live it! Love it!
Mimi nilivutiwa na binti mmoja hapa jf kwa michango yake nikaingia PM akanipa namba tumechat WhatsApp baada ya mda akaniambia we mtoto mdogo acha kunisumbua lakini hakuna hata mmoja aliyemuona mwenzake nikajua kweli jf kuna wabibi nimeacha shobo kabisa tangia siku hyo na wanawake wa jf.Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.
Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Nilitaka nitoe mfano huu kmbe Usha jitetea Tyr 🏃Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Mwezi wa tisa nastaafu.....Bro Evelyn Salt kwa experience yako ya kuonana na hawa madogo wa humu JF ,on average wengi ni jua la jioni?