Kweli hapo Turn off, mi ndo kwanza naitafuta 65 halafu nashangaa wananiita Mzee🤔Nina miaka 44 ni mama mwenye mjukuu mmoja...siogopi uzee....uzee kwangu ni baraka.
Yani lamomy amekosa kabisa hapa mezani ni 55Inshort mimi ndo uhuru mwenyewe 😹😹😹
Ile we dada i gues upo midle 30s'kati ya 35-38 hauchezi mbali na umo ni umri wa kuwa shangazi huo af ndio nawapendaga snEm chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
Nyie ndo watu mnaoichukulia jf seriousNajaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.
Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Usaidia fundi ushaacha😂🫣😂🫣🤣🤣🤣Yani lamomy amekosa kabisa hapa mezani ni 55
Mungu hajawahi amua kuwanyima watu uhai please sisterNdo maana wanaume wengi mnakufa vijana
Maana kwenu uzee ni jambo baya la kucheka mtu
Sasa Mungu kaamua kuwanyima huo uzee sasa
Mtu akiwa kikongwe anakuuma nini? Amekuomba umtawaze?
Acheni mambo ya kitoto .
Wanapozeeka wanawake wanaume wao wanakuwa vijana?Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.
Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
Jiulize wanaume wao miaka ipo vile vile? Kwahiyo wao miaka imesimama? Watuache kabisa mbona wao wanavitambi na vipara lakini tunawastahi🤭🤭🤭🤭Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani🤨🙄
si ndio, ebu watuache[emoji57]Em chukulia mfano kwangu,nimejiunga 2016 humu, nachati since mwaka huo mpaka muda huu,mwaka 2025... nitakuwa yule yule tu? Wapo sahihi kimahesabu ila hawapo sahihi kutumia neno uzee,umri unasogea ila sisi siyo vikongwe jamani[emoji2955][emoji849]
Khe mbona balaa na hapo wewe ni joined 2015Mimi nilivutiwa na binti mmoja hapa jf kwa michango yake nikaingia PM akanipa namba tumechat WhatsApp baada ya mda akaniambia we mtoto mdogo acha kunisumbua lakini hakuna hata mmoja aliyemuona mwenzake nikajua kweli jf kuna wabibi nimeacha shobo kabisa tangia siku hyo na wanawake wa jf.
Kabisa wao makomwe yamewatoka na matumbo mbele kama wajawazito mbona hatusemisi ndio, ebu watuache[emoji57]