Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
- Thread starter
-
- #41
Ni kweli wamepiga 40+ hasa KE ?Nje ya fake ID hizi huwa tunakutana physically ndugu. Na wengine ni marafiki wazuri tu. Nishakutana na wana JF kibao sana ambao tumefahamiana humu humu
Tangu mabinti wa elfu 2 watake kunitoa roho Kwa Kasi yao ya 5G, nikasema Mimi na Wazee wenzangu hadi mwisho wa Dunia 🤗Mzee wa jf naona unatutetea wazee wenzako
Mpwa upo!He he ni kweli sisi wazee
Wapo vijana chini ya hapo, ila wengi niliokutana nao kwenye matukio ni matured enough. Ila wako peace sana, tunabadilishana mawazo na deal kibao tu.Ni kweli wamepiga 40+ hasa KE ?
Najaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .
Endapo MTU akasema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?.
Nachojua wengi waweza wakawa watu wa makamu kutokana na nature ya mtandao huu Ila kuhusu miaka 40-72 sifikirii.
Ila kutaja miaka ya wanawake wa JF randomly haijakaa sawa tujitafakari wakuu , maana kugusa umri wa Mwanamke na kumuita mzee ni sawa kumpiga nyundo za ugoko.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😅😂😂😂😂😂😂😁😁😁😆😆😆😆😆😆😆😆Nyie ni Magumegume, kuna huyi Evelyn Salt hakosi nakoz mgotini.
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣Kwanini mtu akiitwa mzee anakuwa offended??
Si ni nature? Unapingana vipi na nature?
😂😂😂😂😁😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆Sasa Lamomy utasema ni bint? Ni mshangazi wa milaba minne, sura ya baba mdogo. Jichanganye…
Nani huyo aombe msamaha?Hakika anabidi kuomba kuja atuombe msamaha
Nipo mpwa [emoji113] habari yakoMpwa upo!
Simple sana ww unaona mtu kama faiza foxy ana miaka 20 humu jukwaani. Kwanini usiamini kama ni mzeeNajaribu kujiuliza most people , are using Fake I'd .