Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila Lissu sio wa hapa huyo ukifanikiwa mwaga dam yake una mwaga dam yako na taifa yes.
Patrick Lumumba aliuwawa in a cold blood mpaka leo Kongo ina taabika haijapoa why walio mwaga dam yake walikuwa wa kongo wazungu wapo smart wanakupa mission kuuwa mtoto wako ile kwako.
Kule SA wazungu wakamsumbua Mandela ila walikuwa na jicho la tatu wakajuwa nguvu ya kuzaliwa ya mandela wakampa nchi SA imepona
Palikuwa na malikia katili ktk bible alie fanya ufalme ukatikisika kwa kumuuwa mkulima alie goma kumuuzia shamba mume wake Mungu akamtuma nabii amwambie kama alivyo imwaga dam ya mkulima na yeye kesho mbwa watalamba mzoga wake baada ya pale Nabii akakimbia kwa hofu ila neno likatimia Jezebel akaanguka kutoka ghotofani na maiti yake ikaliwa na mbwa na huwo ndio ukawa mwisho wa mfalme na serikali yake... Mkulima mmoja tu ambaye hakuwa kiongozi akazuwa tafarani ktk ufalme. Tutende haki mtanielewa baadae
Nashauri mwachie Tundu Lissu maana kwa lolote mtamfanya dam yake haiwezi mwagika bure jambo baya litalikumba taaifa tutafute usuluhishi na sio mabavu watanzania wanataka mabadiliko by Hayati baba wa Taifa Nyerere