Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

Mmeanza kuingiza na ushirikina, eti sio mwanadamu wa kawaida. Au humjui mganga wake wa Geita aliyempa dawa ya vidono kutoka kigoma ambayo huzuia risasi na mapanga yasikudhuru?
Acheni porojo vitu serious
 
Kupambana na huyo jamaa, ni sawa tu na kupambana na nguvu ambazo hazionekani. Na mwisho wa siku utashindwa tu, tena kwa aibu kubwa.

Imagine mtangulizi wako na ubabe wake wote alishindwa! Sasa wewe utamuweza kwa lipi? Kwa njia zile zile alizoshindwa mtangulizi wako! Big No!
Huyo jamaa nahisi hajawahi kushindwa kitu kwenye maisha yake.
Muulize Mbowe
 
Laigwanaan Tundu ni karagosi la wazungu wenye siasa kali.

Nathubutu kusema, kamwe, haitatokea Tundu akawa Raisi wa Nchi hii.

Eti ana na nguvu za ziada kwamba ana -wazungu nyuma yake?

Naamini Rais SSH ana wakati mgumu sana, na hili limetokana na kuwafungulia masikio kwa wale walimuua Hayat Rais J.P Magufuli

Sasa nimeanza kuelewa kwanini alisema atakuwa chura kiziwi; ina maana, alishawatambua.

Hivi vitisho vyenu havikuanza leo, na ni endelevu, lakini safari hii tutakuwa makini maradufu kulilinda Taifa letu-Watanzania tunajitambua

Lissu ni kibaraka na wakala wa Wazungu-Ni karagosi

Mshindwe na Mlegee
Lissu aliwahi kusaini mkataba gani kati ya hii Dowans ndo ikaja kua Reach mond IPTL kati ya hii kasaini mkataba gani?
 
Back
Top Bottom