Magu alikuwa na corona na ugonjwa wa moyo. Umezoea kuibia katika mitihani unanukuu mpaka jina la unayemuibiaHvi hiki kibibi hakijifunzi?yale yale ya Magu anayafanya anategemea nn?
Sikio la kufa halisikii dawa, Samia amechagua kuondoka madarakani kwa fedheha kubwa.Nawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila Lissu sio wa hapa huyo ukifanikiwa mwaga dam yake una mwaga dam yako na taifa yes.
Patrick Lumumba aliuwawa in a cold blood mpaka leo Kongo ina taabika haijapoa why walio mwaga dam yake walikuwa wa kongo wazungu wapo smart wanakupa mission kuuwa mtoto wako ile kwako.
Kule SA wazungu wakamsumbua Mandela ila walikuwa na jicho la tatu wakajuwa nguvu ya kuzaliwa ya mandela wakampa nchi SA imepona
Palikuwa na malikia katili ktk bible alie fanya ufalme ukatikisika kwa kumuuwa mkulima alie goma kumuuzia shamba mume wake Mungu akamtuma nabii amwambie kama alivyo imwaga dam ya mkulima na yeye kesho mbwa watalamba mzoga wake baada ya pale Nabii akakimbia kwa hofu ila neno likatimia Jezebel akaanguka kutoka ghotofani na maiti yake ikaliwa na mbwa na huwo ndio ukawa mwisho wa mfalme na serikali yake... Mkulima mmoja tu ambaye hakuwa kiongozi akazuwa tafarani ktk ufalme. Tutende haki mtanielewa baadae
Nashauri mwachie Tundu Lissu maana kwa lolote mtamfanya dam yake haiwezi mwagika bure jambo baya litalikumba taaifa tutafute usuluhishi na sio mabavu watanzania wanataka mabadiliko by Hayati baba wa Taifa Nyerere
Kama ana mawazo ya kumuua lissu atajichanganyaNawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila Lissu sio wa hapa huyo ukifanikiwa mwaga dam yake una mwaga dam yako na taifa yes.
Patrick Lumumba aliuwawa in a cold blood mpaka leo Kongo ina taabika haijapoa why walio mwaga dam yake walikuwa wa kongo wazungu wapo smart wanakupa mission kuuwa mtoto wako ile kwako.
Kule SA wazungu wakamsumbua Mandela ila walikuwa na jicho la tatu wakajuwa nguvu ya kuzaliwa ya mandela wakampa nchi SA imepona
Palikuwa na malikia katili ktk bible alie fanya ufalme ukatikisika kwa kumuuwa mkulima alie goma kumuuzia shamba mume wake Mungu akamtuma nabii amwambie kama alivyo imwaga dam ya mkulima na yeye kesho mbwa watalamba mzoga wake baada ya pale Nabii akakimbia kwa hofu ila neno likatimia Jezebel akaanguka kutoka ghotofani na maiti yake ikaliwa na mbwa na huwo ndio ukawa mwisho wa mfalme na serikali yake... Mkulima mmoja tu ambaye hakuwa kiongozi akazuwa tafarani ktk ufalme. Tutende haki mtanielewa baadae
Nashauri mwachie Tundu Lissu maana kwa lolote mtamfanya dam yake haiwezi mwagika bure jambo baya litalikumba taaifa tutafute usuluhishi na sio mabavu watanzania wanataka mabadiliko by Hayati baba wa Taifa Nyerere
Huu ni upuuzi wa Hali ya juuNawaomba serikali ya jamuhuri ya muungano kutambuwa mh Lissu sio mwanadam ila ndani yake ana nguvu za ziada baada ya jaribio lakutaka kumuua ndani ya mji mkuu dodoma kushindwa bila shaka mnakumbuka yale yalitokea ambayo hayakuwahi tokea tangu tupate uhuru.
Huwotaji jicho la tatu kuona haya ila Lissu sio wa hapa huyo ukifanikiwa mwaga dam yake una mwaga dam yako na taifa yes.
Patrick Lumumba aliuwawa in a cold blood mpaka leo Kongo ina taabika haijapoa why walio mwaga dam yake walikuwa wa kongo wazungu wapo smart wanakupa mission kuuwa mtoto wako ile kwako.
Kule SA wazungu wakamsumbua Mandela ila walikuwa na jicho la tatu wakajuwa nguvu ya kuzaliwa ya mandela wakampa nchi SA imepona
Palikuwa na malikia katili ktk bible alie fanya ufalme ukatikisika kwa kumuuwa mkulima alie goma kumuuzia shamba mume wake Mungu akamtuma nabii amwambie kama alivyo imwaga dam ya mkulima na yeye kesho mbwa watalamba mzoga wake baada ya pale Nabii akakimbia kwa hofu ila neno likatimia Jezebel akaanguka kutoka ghotofani na maiti yake ikaliwa na mbwa na huwo ndio ukawa mwisho wa mfalme na serikali yake... Mkulima mmoja tu ambaye hakuwa kiongozi akazuwa tafarani ktk ufalme. Tutende haki mtanielewa baadae
Nashauri mwachie Tundu Lissu maana kwa lolote mtamfanya dam yake haiwezi mwagika bure jambo baya litalikumba taaifa tutafute usuluhishi na sio mabavu watanzania wanataka mabadiliko by Hayati baba wa Taifa Nyerere
ChiembeMkuu, wewe ni kinembe au chiembe? Ujue haya majina yanafanana sana.
Kavimbiwa anachosikia sasa na mbwewe na mashuzi yake tu.Hvi hiki kibibi hakijifunzi?yale yale ya Magu anayafanya anategemea nn?
Acheni ndumuKupambana na huyo jamaa, ni sawa tu na kupambana na nguvu ambazo hazionekani. Na mwisho wa siku utashindwa tu, tena kwa aibu kubwa.
Imagine mtangulizi wako na ubabe wake wote alishindwa! Sasa wewe utamuweza kwa lipi? Kwa njia zile zile alizoshindwa mtangulizi wako! Big No!
Huyo jamaa nahisi hajawahi kushindwa kitu kwenye maisha yake.
duh!Lile limama litaondoka kama yule katili ambae sasa kabaki vumbi tu kaburini.
Aliona hii nchi ni mali yake eti akataka kuua upinzani. Mungu alivyo fundi, likafa lenyewe. Bado hili, litajibiwa tu soon.
Tukiacha unafiki na ushabiki! Lissu anapendwa sana kutokana tu na misimamo yake, ujasiri wake, uzalendo wake kwa nchi, upiganiaji wake wa haki, nk.Kama ana mawazo ya kumuua lissu atajichanganya
Mungu atampiga vibaya
Amuache Baba wa watu, Ni wakati wake Mungu ameachilia kibali kwake cha kupendwa na Watanzania.
Acha kuni quote huku ukitambua fika una akili ya kupeleka tonge mdomoni, na kwenda chooni tu.Acheni ndumu
Mawazo hayo wanayo , sio Lissu tu hata Heche.Kama ana mawazo ya kumuua lissu atajichanganya
Mungu atampiga vibaya
Amuache Baba wa watu, Ni wakati wake Mungu ameachilia kibali kwake cha kupendwa na Watanzania.
Quoted againAcha kuni quote huku ukitambua fika una akili ya kupeleka tonge mdomoni, na kwenda chooni tu.
Ni kweliMawazo hayo wanayo , sio Lissu tu hata Heche.
Na Watanzania hata wasio na vyama.Tukiacha unafiki na ushabiki! Lissu anapendwa sana kutokana tu na misimamo yake, ujasiri wake, uzalendo wake kwa nchi, upiganiaji wake wa haki, nk.
Binafsi natamani siku moja nchi yetu kuongozwa na mtu mwenye hulka ya uzalendo, upambanaji, mwanasheria, na asiye na makandokando ya ufisadi, au kushikamana na mafisadi.