Mtu alie nusurika kifo ktk siasa acheni kumsonga mtalitesa Taifa mtazitesa nafsi zenu

Laigwanaan Tundu ni karagosi la wazungu wenye siasa kali.

Nathubutu kusema, kamwe, haitatokea Tundu akawa Raisi wa Nchi hii.

Eti ana na nguvu za ziada kwamba ana -wazungu nyuma yake?

Naamini Rais SSH ana wakati mgumu sana, na hili limetokana na kuwafungulia masikio kwa wale walimuua Hayat Rais J.P Magufuli

Sasa nimeanza kuelewa kwanini alisema atakuwa chura kiziwi; ina maana, alishawatambua.

Hivi vitisho vyenu havikuanza leo, na ni endelevu, lakini safari hii tutakuwa makini maradufu kulilinda Taifa letu-Watanzania tunajitambua

Lissu ni kibaraka na wakala wa Wazungu-Ni karagosi

Mshindwe na Mlegee
 
Kupambana na huyo jamaa, ni sawa tu na kupambana na nguvu ambazo hazionekani.

Na mwisho wa siku utashindwa tu, tena kwa aibu kubwa.

Imagine mtangulizi wako na ubabe wake wote alishindwa! Sasa wewe utamuweza kwa lipi? Kwa njia zile zile alizoshindwa mtangulizi wako! Big No!

Huyo jamaa nahisi hajawahi kushindwa kitu kwenye maisha yake.
Umeonesha una uwezo mdogo sana wa kufikiri! Au unyumbu umepanda kichwani na kuuvuruga kabisa ubongo wako.

Kwa sababu hata vikaragosi wenzako wakisoma hiki ulichokiandika hapa, watagundua kabisa huna uzalendo wowote ule Lakini pia huitaki mema. nchi hii.
 
Japokuwa sio vizuri kumwaga damu lakini usimfananishe Patrick Lumbumba au Mandela na Lisu. Legacy walizoacha wale jamaa zitaimbwa vizazi na vizazi
 
Hivi kweli huyu ndiye Rais Samia?.
Mbona hakuwa hivi?.
Yaani polisi wanatesa raia wasio na hatia, hakuna hata wa kuwakemea.
Kuna siku polisi watateseka na hakuna atakayewasaidia.
Pia sioni haja ya kuogopa tume huru.
CCM tutashinda tu.
 
yaani,
mropokaji ombaomba, kibaka na tapeli wa kisiasa ambae pia ni kibaraka wa mabenyenye ya magharibi ndio amekua sio mtu wa kawaida gentleman, dah?

labda aache kuomba omba pocket money na pesa ya whisky na nyama choma 🐒
 
Rubbish
 
Na iwe hivyo, kwa kila anayemgusa Lisu na litokee lililotokea miaka minne iliyopita
 
Mmeanza kuingiza na ushirikina, eti sio mwanadamu wa kawaida. Au humjui mganga wake wa Geita aliyempa dawa ya vidono kutoka kigoma ambayo huzuia risasi na mapanga yasikudhuru?
Kuna mahala popote Katika bandiko hili la huyu bwana ameongelea ushirikina?

Ushirikina ni ule wa Nigeria pale angesema yule alieuawa akizikwa wima kashikilia upanga basi atakata wote ataokutana nao usiku.
 
walisema wanataka dunia ijue kuwa kuna kesi, sasa tunataka iendeshwe kwa mtandao dunia ijue ukweli hawataki, mambo ya hivyo tu
 
Huyo Lissu Amshukuru Mungu sana.

Ila hana lolote wala hana huo ujanja
 
T
The Chosen ONE ☝️ ??! ?! 😳🙄 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…