Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe.
Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa vyuoni wanashika chaki, wengine wangekuwa ni wastaafu baada ya kushindwa uchaguzi, wengine wangekuwa wajasiliamali wa kawaida tu, n.k
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.