Mtu aliesema hata mpinzani akishinda uchaguzi asitangazwe, ni lazima aenziwe hata kwa unafiki kwani kawabeba wengi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Msitarajie watu walioshinda uchaguzi na wengine kupata vyeo serikalini kwa msaada wa mtu ambae alikuwa adui wa demokrasia, watu hao waache kumtukuza mtu wa aina hiyo, na inawezekana pia wanafanya yote haya ili na huyu aliepo sasa nae awabebe.

Waacheni wahangaike kwani wengine saa hizi wangekuwa vyuoni wanashika chaki, wengine wangekuwa ni wastaafu baada ya kushindwa uchaguzi, wengine wangekuwa wajasiliamali wa kawaida tu, n.k

Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.
 
Seconded
 
Msubirieni kwenye kampeni tuone anatamka au alikua anatumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…