Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimerudi kuchangia hoja mkuuHa ha ha ha
usiku mwema Dinnah usisahau kuleta hoja
Kama kawaida yakoHadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea.
Shida yako unaimba taarabu afu unakuja majukwaa yasiyo ya mziki we nenda jahazi huko mkuu hapa hapakufaiUmeandika taarab u tupu
Hivi vitabu vitakatifu...vinataka hekima sana kuvielewa...
Imeandikwa ...kila nafsi itaonja mauti..sasa hawa sijui inakuwaje au watakufa baada ya Masih kuja??
Na kama WaPo ina maana ni uyahudini..swali hapa ni mbona haijawahi sikika kama kuna watu wana miaka zaidi ya 2000 na bado wanaishi??..
Au ndio wale tukaambiwa.. wanabadili miili tu ila roho ni zile zile...na maanisha ile bloodline maarufu duniani!
Suala muhimu si kawaida au sikawaida.Kama kawaida yako
shida huu uzi haukuhusu sijui hauja soma hapo juuu?Suala muhimu si kawaida au sikawaida.
Suala muhimuni, je, ni ukweli au uongo?
Nyuzi zote za JF zinanihusu. Kama mwanachama wa JF.shida huu uzi haukuhusu sijui hauja soma hapo juuu?
Acha ushamba mkuuUlikuwa na umuhimu gani wa kuandika kiswahili huku ukinukuu vifungu kwa kiingereza?
Yeah mkuu kuna mambo mengine hadi upate waelewa zaidihili jambo nimewahi kusikia sasa sijui ukweli wake.tulikuwa tunasimuliwa tu tukiwadogo.mwenye ukweli angetiririka hapa.nisawa pia na ishu ya veronika na kitambaa alichofutanayo uso wa yesu japo kwnye biblia haipo
Hakuna shaka acha tuendelee kuwa watulivu tutapata majibuMleta mada nakushukuru sana kwa kuleta swali hill ili tuweze kupata jibu,hata Mimi hili suala nilikua nimepanga niulize hapa maana nilishindwa kuelewa kabisa hao watu ambao hawataonja mauti kuanzia enzi alipokuwapo mpaka atakaporudi ni akina nani hasa,maana mpaka sasa tuna miaka 2000 +, nasubiri majibu kutoka kwa wajuzi.
Walipo sema roho ya Eliya inakaa ndani ya Elisha haikumaanishaAsanthe Dinnah kwa ufafanuzi sasa nautumia msitari wako
""Amin,nawaambieni,pana watu katika hawa wasimamao hapa,ambao hawataonja mauti kabisa,hata watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake"".
Rudia kidogo kupitia maneno nilliyoyafanyia wino mzito Yesu wakati huo alikuwa anaongea kipindi ambacho Elia tayari yupo Mbinguni maana alikuwa amekwisha ondoka miaka mingi iliyopita, watu waliokuwa wanaambiwa mamneno hayo Elia hakuwepo miongoni mwao, kwahiyo sidhani kama hapo alikuwa ni Elia ambaye alikuwa anazungumziwa na habari za Elia zinafuatia mlango wapili ambapo alikuwa ameenda milimani kusali walitokea Elia Na Musa
Kwahiyo bado swali likopalepale hata akiwa ni Elia kumbuka bado Yesu hajarudi sasa Elia kamuonaje akirudi na utukufu wake?
Ukisoma katika 2Wafalme 2:1-15 hapo ni habari ya Elia na Elisha mwisho wassiku msitari wa 15 unaona Neno linasema watu wakasema roho ya Elia imebaki juu ya Elisha wakamfuata wakamwinamia hata ardhi.
sasa unataka kuniambia kuwa roho inakuwa inarithishwa?
bado kuna kitu kinapelea hapo
Nikweli lakini nadhani bado hatujapata maana halisi ya ambao hawatakufaWalipo sema roho ya Eliya inakaa ndani ya Elisha haikumaanisha
Roho imelithishwa bali kalama aliyo kuwa nayo Eliya
Ndiyo kalama ile aliyo bakiwa nayo Elisha.
Nyuzi zote za JF zinanihusu. Kama mwanachama wa JF.
Hii ni public forum.
Yasiyonihusu yapo PM watu wanatumiana kwa faragha zao.
Unakimbilia habari za "uzi haukuhusu" kwa sababu huna hoja za kujibu hoja zangu.