Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

Mtu aliyelaaniwa kuishi hadi kiama

Ha ha ha ha
usiku mwema Dinnah usisahau kuleta hoja
Nimerudi kuchangia hoja mkuu

Kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,
Sifa na utukufu namrudishia katika kiti chake cha enzi,
Kuiona siku ya Leo,si kwa uwezo wetu,Bali ni kwa neema.

Umekosea kuinukuu
Mathayo 16:28
Inasema

Amin,nawaambieni,pana watu katika hawa wasimamao hapa,ambao hawataonja mauti kabisa,hata watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.

Kuishi miaka mingi si laana kama ulivyo fikiri,jaribu kila unaposoma biblia leo usikalili maana uliyo ipata ulipo soma jana

Andiko moja linaweza kuwa na maana zaidi ya 1,kulingana na roho mtakatifu alivyo kufunulia.

Nije kwenye jibu
Ukiangalia katika agano ka kale kuna baadhi ya mitume waliishi miaka mingi sana,na haikumaanisha laana

Jibu la mathayo 16:28

Yesu alimaanisha kuna watu hawataonja mauti ni kama mf wa Eliya katika agano La kale
Eliya hakufa Bali alipaa mbinguni bila kuonja mauti
Pia katika mitume wa yesu wale 12,biblia haijaelezea kwa ujumla baada ya Yesu kupaa mbinguni

Mitume hao waliishiaje?,japo wachache ndo wameandikwa katika biblia mf yohana aliye andika kitabu cha ufunuo akiwa gerezani n.k

Soma 2Wafalme 2:1-15
 
Asanthe Dinnah kwa ufafanuzi sasa nautumia msitari wako
""Amin,nawaambieni,pana watu katika hawa wasimamao hapa,ambao hawataonja mauti kabisa,hata watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake"".

Rudia kidogo kupitia maneno nilliyoyafanyia wino mzito Yesu wakati huo alikuwa anaongea kipindi ambacho Elia tayari yupo Mbinguni maana alikuwa amekwisha ondoka miaka mingi iliyopita, watu waliokuwa wanaambiwa mamneno hayo Elia hakuwepo miongoni mwao, kwahiyo sidhani kama hapo alikuwa ni Elia ambaye alikuwa anazungumziwa na habari za Elia zinafuatia mlango wapili ambapo alikuwa ameenda milimani kusali walitokea Elia Na Musa

Kwahiyo bado swali likopalepale hata akiwa ni Elia kumbuka bado Yesu hajarudi sasa Elia kamuonaje akirudi na utukufu wake?

Ukisoma katika 2Wafalme 2:1-15 hapo ni habari ya Elia na Elisha mwisho wassiku msitari wa 15 unaona Neno linasema watu wakasema roho ya Elia imebaki juu ya Elisha wakamfuata wakamwinamia hata ardhi.
sasa unataka kuniambia kuwa roho inakuwa inarithishwa?
bado kuna kitu kinapelea hapo
 
Hivi vitabu vitakatifu...vinataka hekima sana kuvielewa...

Imeandikwa ...kila nafsi itaonja mauti..sasa hawa sijui inakuwaje au watakufa baada ya Masih kuja??
Na kama WaPo ina maana ni uyahudini..swali hapa ni mbona haijawahi sikika kama kuna watu wana miaka zaidi ya 2000 na bado wanaishi??..
Au ndio wale tukaambiwa.. wanabadili miili tu ila roho ni zile zile...na maanisha ile bloodline maarufu duniani!

Ndio hapo sasa
Ila nikweli vinahitaji hekima sana kuvielewa ndio maana nikaona nikiliweka wazi kama hapa huenda tukakutana na watu waliojaaliwa kuelewa zaidi fungu hili na wakatutoa tongotongo linalotukabili
 
shida huu uzi haukuhusu sijui hauja soma hapo juuu?
Nyuzi zote za JF zinanihusu. Kama mwanachama wa JF.

Hii ni public forum.

Yasiyonihusu yapo PM watu wanatumiana kwa faragha zao.

Unakimbilia habari za "uzi haukuhusu" kwa sababu huna hoja za kujibu hoja zangu.
 
hili jambo nimewahi kusikia sasa sijui ukweli wake.tulikuwa tunasimuliwa tu tukiwadogo.mwenye ukweli angetiririka hapa.nisawa pia na ishu ya veronika na kitambaa alichofutanayo uso wa yesu japo kwnye biblia haipo
 
Yeah mkuu kuna mambo mengine hadi upate waelewa zaidi
na nikweli kuna masimulizi nje ya biblia yapo, nikweli habari hizo zipo mkuuu
 
Mleta mada nakushukuru sana kwa kuleta swali hill ili tuweze kupata jibu,hata Mimi hili suala nilikua nimepanga niulize hapa maana nilishindwa kuelewa kabisa hao watu ambao hawataonja mauti kuanzia enzi alipokuwapo mpaka atakaporudi ni akina nani hasa,maana mpaka sasa tuna miaka 2000 +, nasubiri majibu kutoka kwa wajuzi.
 
Hakuna shaka acha tuendelee kuwa watulivu tutapata majibu
 
hili jambo nimewahi kusikia sasa sijui ukweli wake.tulikuwa tunasimuliwa tu tukiwadogo.mwenye ukweli angetiririka hapa.nisawa pia na ishu ya veronika na kitambaa alichofutanayo uso wa yesu japo kwnye biblia haipo
 
Asanthe Dinnah kwa ufafanuzi sasa nautumia msitari wako
""Amin,nawaambieni,pana watu katika hawa wasimamao hapa,ambao hawataonja mauti kabisa,hata watakapomwona mwana wa Adamu akija katika ufalme wake"".

Rudia kidogo kupitia maneno nilliyoyafanyia wino mzito Yesu wakati huo alikuwa anaongea kipindi ambacho Elia tayari yupo Mbinguni maana alikuwa amekwisha ondoka miaka mingi iliyopita, watu waliokuwa wanaambiwa mamneno hayo Elia hakuwepo miongoni mwao, kwahiyo sidhani kama hapo alikuwa ni Elia ambaye alikuwa anazungumziwa na habari za Elia zinafuatia mlango wapili ambapo alikuwa ameenda milimani kusali walitokea Elia Na Musa

Kwahiyo bado swali likopalepale hata akiwa ni Elia kumbuka bado Yesu hajarudi sasa Elia kamuonaje akirudi na utukufu wake?

Ukisoma katika 2Wafalme 2:1-15 hapo ni habari ya Elia na Elisha mwisho wassiku msitari wa 15 unaona Neno linasema watu wakasema roho ya Elia imebaki juu ya Elisha wakamfuata wakamwinamia hata ardhi.
sasa unataka kuniambia kuwa roho inakuwa inarithishwa?
bado kuna kitu kinapelea hapo
Walipo sema roho ya Eliya inakaa ndani ya Elisha haikumaanisha
Roho imelithishwa bali kalama aliyo kuwa nayo Eliya

Ndiyo kalama ile aliyo bakiwa nayo Elisha.
 
Nikweli lakini nadhani bado hatujapata maana halisi ya ambao hawatakufa
 
Kiranga wacha uchokozi

Back
Top Bottom