Mtu ambaye hukumtegemea kabisa anapokufanyia jambo hili unapatwa na kigugumizi cha hisia

hajiheshimu huyo,ana akili za kidwanz kama zako tuuu
 
ha ha ha.. zanzibarnmekuja mara moja tu ofisi zipo dar town.jana jioni nilirudi dar mara moja kuna kazi natakiwa kuifanya halafu nirudi tena zanzibar.
Gudume, ofisi yako ipo sehemu gani Zanzibar?? Karibu Kilimani ila uje na huyo mdada[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Curious gal haya mambo yanatokea. hivi hujawahi sikia mtu analalamika kwa nini mimi tu? yaani ana pata mabalaa mengi mengi mpaka anauliza why me? hujawahi sikia kuna mtu yeye ni hapendeki hata iweje? hujawahi sikia kuna mtu hapendezi hata umvalishe nguo gani? ndivyo ilivyo kwangu nami. nina mabalaa majanga na maswahibu mbali mbali. pengine ni kutokana na aina ya maisha yangu na watu wa karibu yangu. ila haya yapo na kama unataka tuwasiliane nikupe ushahidi.ni inbox namba yako ya simu. by the way unazidi kupendeza tu..unatunyima nini sisi wengine? tugawane utamu huo.
Am speechless! Hivi hivi vitu unavoandika huwa vinakutokea kweli au?????
 
maana yake sikutaka atoe pesa kwa ajili yangu. hiyo alishanunua kwa ajili yake ndo akanipa leo hii. not for me. so sikutaka hata akanunue chupi mpya kama ngejua kuwa ataleta chupi
Sasa hiyo chupi ameipata wapi ambapo hakutumia pesa kuinunua?
 
Reactions: OTG
ha ha ha... washanikubali na tabia yangu mbaya.... mimi sipendi kujifanya ni gentleman. nipo real bado boy... ndo maana huwa tunagombana ila wanakuja kugundua ndo nilivyo basi tunasemeheana na kupendana... nyie wengine watakatifu mtakuja kulalamika huku siku moja.

Maajabu:GuDume ndo kiwembe pekee anaependwa na wanawake wengi hadi wa JF!
 
Nasikia Morata alikula umeme yaan alioneshwa kadi nyekundu, kua makin na ww hapo kazin
 
ha ha ha ... nmecheka sana URBAN MONKEY kizuri kula na nduguyo kaka....
Asije kuwa mke wangu huyo .
,sio FATMA kweli hilo jina ulilodanganya !!!

ofisi yako iko mahala gani mkuu niunganishae dots hapa
usimtendee hivyo mke wang huyo plz
 
ha ha ha ntakimemena hamna shida.
Mmmmhu,hebuniambie hiv ni kwann wadada wanapenda sana kunusa pichue zao?ila mzee hapo lazima ujifanye mzaliwa wa MTWARA - aumbilecho mungu kumemena we mmemene tu [emoji23][emoji23]
 
hii nimesikia leo hebu ngoja niifanyie kazi.
Ulitaka mwenyewe, zawadi hiyo ya kukufurahisha isiyonunuliwa ni ipi? Pambana na chupi yako bro, ikibidi ichemshe unywe huko supu! Supu ya chupi ni nzuri sana

Mwanaume supu ya chupi buana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…