Mtu anaechukua mkopo wa milioni 100 kujenga nyumba ya milioni 10, na anaemkopesha ndiye anayejenga (lazima); ana akili timamu kichwani kwake?

Akili anazo timamu kabisa hiyo ni indirect business kila upande unanufaika.
Sawasawa, muda mwingine inabidi tuwape nafasi watu kama nyinyi ili kudhihirisha afya zenu za akili nyinyi wenyewe
 
Sawasawa, muda mwingine inabidi tuwape nafasi watu kama nyinyi ili kudhihirisha afya zenu za akili nyinyi wenyewe
Mkuu Mimi nina duka langu la ujenzi, vifaa vitakavyo kamilisha nyumba yako vina thamani ya million 100 ila wewe kwa mkupuo hauna hiyo hela, mie nikasema kama utanilipa kidogo kidogo na ikachukua miaka 2 basi utapaswa unilipe jumla milioni 110, basi ukikataa ntakuona mjamaa mwenye nguvu nyingi kuliko akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…