jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 507
Dah pole sana mkuu, ngoja wana JF waje kutusomesha kuhusu hii kituwiki tatu nyuma mgonjwa wangu wa ajali alifariki baada ya kupewa maji maana alikuwa akilalama sana kuhusu kiu
Dah noma sana,Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"πππ Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.
Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
Kwann? na maji anakunywaga kila sikuukimpa MAJI UMEMUUA
Kinachofatia baada ya kumpa maji ni kifoHabarini wananzengo,
Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa.
Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu" kuna mzee mmoja alikataa kata kata jamaa asipewe hayo maji badala yake akimbizwe hospitalini na sikua na nafasi ya kumuuliza huyo mzee ni kwanini jamaa asipewe maji.
Naombeni kuuliza inamaanisha nini mtu anapoomba maji akiwa kwenye hali kama hiyo π na ukimpa maji kitamtokea nini?
Mbona nikipigaga mazoezi nakunywa maji sanaHuwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"πππ Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.
Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
cc Mshana JrHuwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"πππ Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.
Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
Kwa kuongezea mtu kama ni muovu hii kiu huwa ni lazima. ni "sakaratu lmauti" hiyo au ulevi wa umauti.Umpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..
Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
Ndoshida ya uislam ,hapa tunazungumzia vitu gani vinapelekea huyu MTU aombe maji na akipewa anakufa,lakini huyuhuyu akikimbizwa hospitalini anatundikiwa drip anapona ,tunataka jibu LA kibiolojia au science, siohilo kamalakoUmpe ama usimpe kama wakati umetimia, atakufa tu..
Hii inatokana na mafundisho(uislam) wakati wa umauti mtu anaweza akapatwa na kiu kali mnoo..
Kwahiyo kwa watu wengi imekuwa ni dalili kuwa kuomba maji kwa mgonjwa yawezekana ikawa umauti unasogea, lakini hapa umpe ama usimpe umauti utamchukua tu kama wakat wake umetimia
Inategemea na aina ya mazoezi unayofanya, kama ni mazoezi uliyozoea kufanya haina shida ila kama ukipiga mazoezi makali tofauti na ulivyozea haushauriwi kunywa maji mara tu baada ya kufanya mazoezi.Mbona nikipigaga mazoezi nakunya maji sana
Labda hii itakaa vizuri tukisema mwili ukiwa kwenye HIGH PRESSURE mfano ukimbie kwa speed bila kusimama toka Kariakoo mpaka Tegeta hapohapo upewe maji kweli unaweza kufa maana SYATEM zote na OPERATION zake zinakuwa HIGH kuMeet condition ukiweka maji una Stress mwili.Inategemea na aina ya mazoezi unayofanya, kama ni mazoezi uliyozoea kufanya haina shida ila kama ukipiga mazoezi makali tofauti na ulivyozea haushauriwi kunywa maji mara tu baada ya kufanya mazoezi.
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa hapendi sana unywe maji baada tu ya kufanya mazoezi.