Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

1622462507999.png
 
Kuna ile

Kipigo kikali jamaa hata hajaomba maji, chali.

Yaani inaaminiwa kuomba maji ni step ya mwisho kuelekea kifo. Isipokua ni kwamba kama umefikia point of no return siyo maji wala juisi itakayokurudisha au kukusindikiza.
 
Huwa nasikia mtu aliye katika hali hiyo ukimpa maji anaweza kufa.
Kuna mwizi mmoja hivi alikamatwa na kondoo aliyeiba parokiani basi wakambebesha huyo kondoo na kuanza kumkimbiza kutoka hapo kwenda parokiani (ilikuwa kama ni kijiji cha jirani na hapo). Alipofikiswa pale kuna wahuni wakawa wanapiga kelele "mpeni maji, ana kiu...kakimbia sana"😂😂😂 Wamama wakaanza kupiga kelele wakiamba hao masela wasimpe maji huyo kaka kibaka.

Natamani kuelezwa huu mchakato unakuwaje kibaiolojia.
🤣🤣🤣 Nime imagine kondoo vile alivyo huku watu wanakukimbiza "Huyooo Huyooo Huyoooo" (In nyerere's voice)🤣! Binadamu noma sana!
 
Labda hii itakaa vizuri tukisema mwili ukiwa kwenye HIGH PRESSURE mfano ukimbie kwa speed bila kusimama toka Kariakoo mpaka Tegeta hapohapo upewe maji kweli unaweza kufa maana SYATEM zote na OPERATION zake zinakuwa HIGH kuMeet condition ukiweka maji una Stress mwili.
Yeap, pengine ni hivyo.
 
Mkuu Cesar Saint tunashukuru sana kwa ulichotufanyia..!!

Karibu.
Kwa upande wa huduma ya kwanza na matibabu ya baada ya maafa au ajali jamii yetu ya kitanzania iko nyuma sana.
Watu wengi hawajui jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu wanaopatwa na Asthmatic attack (pumu) ,Heart-attack (shambulio la moyo) ,Ajali,kuungua na moto,kunywa sumu,kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mengine.
Njia zetu nyingi zinafanywa kimakosa na kuhatarisha afya ya aliyepatwa na madhaa pamoja na mtoa msaada.

Hata jinsi tunavyojishughulisha na post traumatic experiences ni duni sana yaani afya ya akili haipewi kipaumbele watu wameishi kwenye depression mpaka wamekuwa na multiple personalities.
 
inawezekana inatokana na kuwa mwili unakuwa kwenye joto la hatari pamoja naviungo vyake hivyo kunywa maji ni kama tukio lianze upya au kurudisha system nyuma.
ila nafikiri huyu mtu akipewa chai ya moto anaweza kuwa vizuri kwa kuwa itamuongezea pia sukari aliyopoteza wakati akitumia nguvu nyingi.
mawazo yangu tu
Mkuu kwani mtu akitoka kufanya mazoezi mbona anakunywa maji ?
 
There are two scenarios to why a person involved in an accident would not be advised to be given water (oral hydration).

Three reasons which are corresponding with the person who is involved in an accident and exhibits wounds internally or externally.

1) Patient may aspirate the water if he is not fully conscious and it may cause choking and death or aspiration pneumonia as a late complication.

2) He may have suffered injuries which would need a major surgery and in such a case it is better if he hasn't taken any food or fluids.

3) A head injury may cause cerebral edema, and in the absence of any major blood loss, more fluids will aggravate the oedema and may cause irreversible brain damage or death.

And another scenario is with the person who has suffered a shock after being involved in an accident.

When a person is in shock, his or her body reduces blood flow to the digestive tract (stomach, intestines, etc.) in order to supply vital organs (heart, lungs, brain, etc.). As a result, water and food can not be absorbed normally. This often causes the person to vomit. Vomiting increases fluid loss, leaving him or her more dehydrated than before. Vomiting also raises the risk of aspiration (stomach contents getting into the trachea and lungs) which is quite dangerous.

But also during shock, the heart is unable to pump blood to meet the oxygen requirement in the tissues.

In relevant to the issue on hand is that blood is shunted to the vital organs such as the brain.

Note that the intestine is not a vital organ.

Hence, blood is shunted away via sympathetic actions that bring about vasoconstriction and reduce gut motility.

In this case if you give water or feed, the gut become prone to ischemia, gangrene and perforation because of the already compromised perfusion.
Wazee wa kugugo
 
Karibu.
Kwa upande wa huduma ya kwanza na matibabu ya baada ya maafa au ajali jamii yetu ya kitanzania iko nyuma sana.
Watu wengi hawajui jinsi ya kutoa huduma ya kwanza kwa watu wanaopatwa na Asthmatic attack (pumu) ,Heart-attack (shambulio la moyo) ,Ajali,kuungua na moto,kunywa sumu,kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mengine.
Njia zetu nyingi zinafanywa kimakosa na kuhatarisha afya ya aliyepatwa na madhaa pamoja na mtoa msaada.

Hata jinsi tunavyojishughulisha na post traumatic experiences ni duni sana yaani afya ya akili haipewi kipaumbele watu wameishi kwenye depression mpaka wamekuwa na multiple personalities.
Ni kweli mkuu huduma ya kwanza kwa wahanga Kama hao nchi za Ulaya huko sio habari kabisa
 
Back
Top Bottom