makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
ndoshida ya uislam ,hapa tunazungumzia vitu gani vinapelekea huyu MTU aombe maji na akipewa anakufa,lakini huyuhuyu akikimbizwa hospitalini anatundikiwa drip anapona ,tunataka jibu LA kibiolojia au science, siohilo kamalako
Sasa shida uislam ama wewe tu chief!? Hiyo biology haijibu hili suala..
Wangapi wanakufa hali wametundikiwa hizo drip.
Kuna aya moja siikumbuki, mumgu anamwambia mtume wake kuwa watu wanamuuliza kuhusu roho, hiyo ni elimu ambayo hajatupa(hatuna)
Naona unataka kubisha sababu jibu nimelinasibisha na dini, ila hatuwezi kukwepa dini juu ya umauti.