msebia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 470
- 357
😂 😂 😂Ukimpa maji ni kama unai flash roho yake kuisindikiza ahera.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Ukimpa maji ni kama unai flash roho yake kuisindikiza ahera.
Kwa ufupi kafanya unyanyasajiMkuu Cesar Saint tunashukuru sana kwa ulichotufanyia..!!
Kwa kweli!Mkuu Cesar Saint tunashukuru sana kwa ulichotufanyia..!!
Unyanyasaji wa kilugha [emoji3]Kwa ufupi kafanya unyanyasaji
Duh !![emoji15]Mpe kvant akiomba maji
Vipi kuhusu water break ile ya uwanjani mkipiga mtanange ,inashauriwaje au kwakua ni mpira sio mazoezi ya viungo?Inategemea na aina ya mazoezi unayofanya, kama ni mazoezi uliyozoea kufanya haina shida ila kama ukipiga mazoezi makali tofauti na ulivyozea haushauriwi kunywa maji mara tu baada ya kufanya mazoezi.
Kuna mwalimu wangu mmoja alikuwa hapendi sana unywe maji baada tu ya kufanya mazoezi.
Mhasiriwa? Ndio nini? Au ilikusudiwa muathirik(w)a?Mhasiriwa anaishi kwa damu iliyo mwilini. Kwa hivyo kutoa maji husababisha upunguzaji wa damu na mwathiriwa huanguka hadi kufa kabla ya kupata msaada wa matibabu.
Ikiwa jeraha ni dogo sana kama vile mikwaruzo ya kina, kuvunjika kwa mkono au miguu mtu anaweza kuchukua maji lakini hata hivyo inashauriwa kuzuia mpaka msaada wa matibabu.
Usije kuwapa maji wahasiriwa kama vile waliondondoka kutoka umbali mrefu, aliepata majeraha maeneo ya tumbo au sehemu yoyote ya mwili. Pia usimsonge mwathirika. Watu wengi wanauawa wahasiriwa pale wanapo jaribu kusaidia kabla ya misaada ya kwanza kufika.
Mhasiriwa hakika anahisi kiu, kwa hivyo ili kuipunguza mtu anaweza kulowesha ulimi na karatasi ya kitambaa, leso nk.
Hataree sana. Sasa miezi mate si kondoo wa BWANA wangemweka kwenye kitubio.Alidhani kwa kuwa wanasema samehe 7x70 hivyo wangemuacha tu, isingekuwa juhudi za wamama kupiga makelele angechomwa palepale parokiani maana paroko alishatoa go ahead. Yule alikiwa kondoo kama wa nne kuibiwa so baba paroko alikiwa kamaind sana😂😂😂😂
Hivyo vitu wanatufundisha tu lamikini utekeleza wake ni mgumu kiasi hata wao hawawezi. Kuibiwa kunauma sana, unasahau hadi maandiko.Hataree sana. Sasa miezi mate si kondoo wa BWANA wangemweka kwenye kitubio.
Hapa unakuta wachezaji wamechemka balaa halafu na hapo hapo wanakunywa maji na hamna kinachotokeaVipi kuhusu water break ile ya uwanjani mkipiga mtanange ,inashauriwaje au kwakua ni mpira sio mazoezi ya viungo?
Thankssikia mtu akiomba maji mpe ila asinywe bali mlambishe ktk lipa anywe matone matone utamsave sana sana kuliko kumpa aingie utamuua
[emoji122][emoji122]Kiu kali kwa muhanga wa ajali ni kutokana na kupoteza maji mengi na damu nyingi!!ikumbukwe tumboni kuna mishipa mingi ya damu kwa ajili ya kufyonza maji na chakula!!sasa kama damu imepungua mwilini ujue maji utakayompa mhanga hayatafyonzwa na mwili tena bali yatamtia ganzi tumboni na mwili kwa ujumla yataenda kupoza neva na mishipa na kutia ganzi mwili mzima!hicho ndicho chanzo vifo hivi tuvionavyo!!njia pekee ni kutundikiwa dripu ya maji ambayo yataingia kwenye mfumo moja kwa moja kabisa bila madhara!!!!!GANZI KWENYE TUMBO INAYOTOKANA NA UBARIDI WA TUMBO NDIO HUMUUA ANAPOPEWA MAJI BARIDI AKIWA HANA DAMU YA KUTOSHA!!!
Asante sana mkuu!! Ila ungeiandika kwa lugha yetu ya kizaramo hii ulikuwa umemaliza kabisa yani. [emoji120][emoji120] by the way..There are two scenarios to why a person involved in an accident would not be advised to be given water (oral hydration).
Three reasons which are corresponding with the person who is involved in an accident and exhibits wounds internally or externally.
1) Patient may aspirate the water if he is not fully conscious and it may cause choking and death or aspiration pneumonia as a late complication.
2) He may have suffered injuries which would need a major surgery and in such a case it is better if he hasn't taken any food or fluids.
3) A head injury may cause cerebral edema, and in the absence of any major blood loss, more fluids will aggravate the oedema and may cause irreversible brain damage or death.
And another scenario is with the person who has suffered a shock after being involved in an accident.
When a person is in shock, his or her body reduces blood flow to the digestive tract (stomach, intestines, etc.) in order to supply vital organs (heart, lungs, brain, etc.). As a result, water and food can not be absorbed normally. This often causes the person to vomit. Vomiting increases fluid loss, leaving him or her more dehydrated than before. Vomiting also raises the risk of aspiration (stomach contents getting into the trachea and lungs) which is quite dangerous.
But also during shock, the heart is unable to pump blood to meet the oxygen requirement in the tissues.
In relevant to the issue on hand is that blood is shunted to the vital organs such as the brain.
Note that the intestine is not a vital organ.
Hence, blood is shunted away via sympathetic actions that bring about vasoconstriction and reduce gut motility.
In this case if you give water or feed, the gut become prone to ischemia, gangrene and perforation because of the already compromised perfusion.
Pole Sana mkuu2020 Mwezi May, somewhere Kanda ya kati,nilipata ajali mbaya sana, nilikua pekeyangu... Bahat nzuri eneo hilo kulikua na watu. Nilikua ktk hali mbaya sana,nilijihisi kuzimia na kuishiwa nguv. Niliweza kujitoa nje ya gari... ILINIJIA KIU KUBWA SANA NIKATAKA KUOMBA MAJI. ILA NAFSI YANGU IKANIKATAZA NISIOMBE MAJI, NA NIKAKUMBUKA KTK HALI HIYO KUOMBA MAJI NI SAWA NA KUOMBA UMAUTI... Sikutamka kuomba maji... Ktk yote hadi leo sijui niliponaje ktk ile ajali maana kilamtu alikua anajua nitakufa anytime. MUNGU NI YEYE YULE JANA LEO HATA MILELE NITAMUABUDU POPOTE
ThanksKuna sababu kadhaa ni kwa nini huwa haishauriwi kuwapatia maji wagonjwa walopata ajali, na kwa nini hii hali..
Kawaida Mwili unapokua kwenye Shock, mzunguko wa damu hupungua katika mfumo wa chakula hivyo kufanya mfumo wa chakula kutofanya kazi ya ipaswavyo na kupelekea maji na chakula kutofyonzwa ipaswavyo na Kusababisha Kiu.
Sababu ni kwa nn tusimpatie mtu huyu chakula au maji
1.Yawezekena mtu huyo akawa ameumia Vibaya sana mno hivyo atuhitaji Upasuaji mkubwa wa Haraka, hivyo ukiwa umempatia Maji ama chakula itasababisha Complications wakati wakupatiwa dawa za Usingizi(anaesthesia).
2. Mtu akiwa kaumia vibaya na kupoteza fahamu hupaswi kumpatia maji sababu anaweza tapika na matapishi yale kuingia katika koo la hewa na kusababisha kifo chake.
3. Yawezekana mtu huyu akawa pia ana ongezeko la msukumo wa damu( High blood Pressure) hivyo hapaswi kuongezewa maji maana Pressure itazid kuwa juu na kumsababishia Madhara katika ubongo wake( Haemoregic shock).
Nadhan Nimejibu.
Mawere Francis
EMD Dept..