Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

Mtu anapoomba maji baada ya ajali na ukampatia, ni nini kitamtokea?

Mkuu kwani mtu akitoka kufanya mazoezi mbona anakunywa maji ?
anakunywa lakini anashauriwa yasiwe ya baridi sana na ikiwezekana achukue muda kidogo
lakini pia inawezekana yasilete shida kwa kuwa yeye hufanya mazoezi kama tendo la hiyari na mwili wake umezoea hivyo sasa huyu ghafla lazima inaweza sumbua.
 
Ni Imani tu hakuna chochote. Imetokea mara nyingi Mtu akikaribia kukata roho huwa anapatwa na kiu na kuhitaji maji, sasa naona watu wameconnect dots

Ila sioni kama kuna uhusiano wowote kisayansi wala kiimani.
 
There are two scenarios to why a person involved in an accident would not be advised to be given water (oral hydration).

Three reasons which are corresponding with the person who is involved in an accident and exhibits wounds internally or externally.

1) Patient may aspirate the water if he is not fully conscious and it may cause choking and death or aspiration pneumonia as a late complication.

2) He may have suffered injuries which would need a major surgery and in such a case it is better if he hasn't taken any food or fluids.

3) A head injury may cause cerebral edema, and in the absence of any major blood loss, more fluids will aggravate the oedema and may cause irreversible brain damage or death.

And another scenario is with the person who has suffered a shock after being involved in an accident.

When a person is in shock, his or her body reduces blood flow to the digestive tract (stomach, intestines, etc.) in order to supply vital organs (heart, lungs, brain, etc.). As a result, water and food can not be absorbed normally. This often causes the person to vomit. Vomiting increases fluid loss, leaving him or her more dehydrated than before. Vomiting also raises the risk of aspiration (stomach contents getting into the trachea and lungs) which is quite dangerous.

But also during shock, the heart is unable to pump blood to meet the oxygen requirement in the tissues.

In relevant to the issue on hand is that blood is shunted to the vital organs such as the brain.

Note that the intestine is not a vital organ.

Hence, blood is shunted away via sympathetic actions that bring about vasoconstriction and reduce gut motility.

In this case if you give water or feed, the gut become prone to ischemia, gangrene and perforation because of the already compromised perfusion.
Kama tunataka kuelewa hivi, halafu havileweki. ebu iweke kwa kiswahili itapendeza zaidi.
 
Wiki tatu nyuma mgonjwa wangu wa ajali alifariki baada ya kupewa maji maana alikuwa akilalama sana kuhusu kiu
Nazani ni Imani tu na hii kisayansi ni kwamba mtu wa ajari anaweza fikia kwenye oparation moja kwa moja ndo maana hairuhusiwi si tu maji hata Chakula hakiruhusiwa
 
Kuna kitu kinaitwa NPO yaani Nill per Oral, hii ni kwamba kwenye Kufanya Oparation mgonjwa anatakiwa asiwe amekula kitu chochote kile kwa masaa kadhaa sasa kwa mtu wa ajari huwa kuna uwezekano wa wa majeruhi jufikia chumba cha upasuaji moja kwa moja so kitendo cha kumpatia maji kitachelewesha upasuaji wake. Hii ndo sababu kuu, na sio Maji pekee hata chakula asipewe
 
Ni Imani tu hakuna chochote. Imetokea mara nyingi Mtu akikaribia kukata roho huwa anapatwa na kiu na kuhitaji maji, sasa naona watu wameconnect dots

Ila sioni kama kuna uhusiano wowote kisayansi wala kiimani.
Hapana mkuu sababu kuu ni kwamba mtu wa ajari huenda akafikia Chumba cha upasuaji moja kwa moja na kuna kitu kinaitwa Nill Per Oral(NPO) sasa endapo atakuwa kapewa maji maana yake upasuaji utacheleweshwa na hapo anaweza pata matatizo zaidi.na sio maji tu hata Chakula asipewe
 
Kuna kitu kinaitwa NPO yaani Nill per Oral, hii ni kwamba kwenye Kufanya Oparation mgonjwa anatakiwa asiwe amekula kitu chochote kile kwa masaa kadhaa sasa kwa mtu wa ajari huwa kuna uwezekano wa wa majeruhi jufikia chumba cha upasuaji moja kwa moja so kitendo cha kumpatia maji kitachelewesha upasuaji wake. Hii ndo sababu kuu, na sio Maji pekee hata chakula asipewe
Kwanini maji au chakula kitachelewesha upasuaji wake?
 
Unaweza kumpa maji ila yawe ya moto kiasi

katika hali hii mhusika huwa katika hali ya taharuki jambo linalofanya damu yake kuwa na joto kubwa sambamba na mgandamizo mdogo wa mwili hivyo ukiweka maji ya baridi tumboni kiasi cha joto la damu hupanda zaidi kuliko kwaida na hata kupelekea kifo

chukulia mfano wa mafuta yanayotokota kwenye kaangio halafu uweke maji bila kitu kingine chochote je nini kinatokea moto huripuka

nb;yale maji ya dripu hospitalini huwa na viungo maalumu ambavyo huongezwa humo ili kufanya mchangamano wa maji hayo na damu kushabihiana

.
 
Thanks
 
Mwili unahitaji maji mengi kuliko damu!
MTU aliyepata ajari anakuwa amevuja damu nyingi halafu mapigo ya moyo yanachenji, tatu ile hali ya upungufu wa maji unaufanya mwili uhitaji maji mengi kwa mpigo kiasi cha kusababisha stroke kwenye moyo!
Ni kama jiwe LA moto ukimwagia maji (quenching) lina pasuka!
Ndivyo mishipa ya ateri na adrenal inavyokuwa na joto kubwa kiasi cha kuhitaji maji kidogo kidgo hususa katika mfumo wa dripu!

Unampa maji mwenye kiu Kali huwezi mzuia asibugie maji mengi kwasababu anakiu! (Ni sawa na mtu aliyetoka jera anaugwadu halafu apewe papa ya kuingiza kichwa tu...jokes)

Hivyo ni hatari kumpa maji aliyepatwa na ajari kwasababu joto LA mwili linakuwa juu sana!
Njia pekee ni matone au dropping au dripu
Lakini kumbuka maji anayokunywa hayaingii kwenye mishipa ya damu directly ni mpaka yafanyiwe absorption.
 
Habarini wananzengo,

Nimeshuhudia baadhi ya visa vya watu kuomba maji wakiwa hoi sana wengi wao ikiwa ni baada kupata ajali. Kuna jamaa alianguka kutoka kwenye mti akawa analia apewe maji lakini hakuna mtu aliyempa.

Mwengine aligongwa na gari akawa analia huku akisema"naombeni maji, majii tu" kuna mzee mmoja alikataa kata kata jamaa asipewe hayo maji badala yake akimbizwe hospitalini na sikua na nafasi ya kumuuliza huyo mzee ni kwanini jamaa asipewe maji.

Naombeni kuuliza inamaanisha nini mtu anapoomba maji akiwa kwenye hali kama hiyo [emoji115] na ukimpa maji kitamtokea nini?
Unashauriwa usimpe maji ili ku avoid Aspiration. Maan asilimia kubwa ya watu wanaopat ajali huwa hawako conscious na syestem mbalimbali za mwili zko disturbed. Kwahy ukimpa maji kuna uwezekano mkubwa maji kupita katika njia ya hewa
 
Kuna sababu kadhaa ni kwa nini huwa haishauriwi kuwapatia maji wagonjwa walopata ajali, na kwa nini hii hali..
Kawaida Mwili unapokua kwenye Shock, mzunguko wa damu hupungua katika mfumo wa chakula hivyo kufanya mfumo wa chakula kutofanya kazi ya ipaswavyo na kupelekea maji na chakula kutofyonzwa ipaswavyo na Kusababisha Kiu.

Sababu ni kwa nn tusimpatie mtu huyu chakula au maji
1.Yawezekena mtu huyo akawa ameumia Vibaya sana mno hivyo atuhitaji Upasuaji mkubwa wa Haraka, hivyo ukiwa umempatia Maji ama chakula itasababisha Complications wakati wakupatiwa dawa za Usingizi(anaesthesia).

2. Mtu akiwa kaumia vibaya na kupoteza fahamu hupaswi kumpatia maji sababu anaweza tapika na matapishi yale kuingia katika koo la hewa na kusababisha kifo chake.

3. Yawezekana mtu huyu akawa pia ana ongezeko la msukumo wa damu( High blood Pressure) hivyo hapaswi kuongezewa maji maana Pressure itazid kuwa juu na kumsababishia Madhara katika ubongo wake( Haemoregic shock).

Nadhan Nimejibu.
Mawere Francis
EMD Dept..
 
Back
Top Bottom