Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Pascal Mayalla ndugu habari ya asubuhi huko ulipo, naomba useme neno moja tupate kupona watanzania jumapili hiiiKenyatta alikuwa sahihi kusema Nyerere anaongoza maiti
Mengi tungeweza kurusha mawe, kurekodi kama bonge, kutumia chochote ambacho kipo hapo kusaidia...... ukiona mtoto wako anachukuliwa na watu wenye bunduki hutapambana? You'll do anything to save themWewe ungefanyaje? Tatizo la hii nchi ni kuwa na Idadi kubwa sana ya Keybord woriour. Tuna Keybord woriou wengi kuliko Taifa lolote lile Duniani.
We nae hebu tuache na misikiti yetu. Tuache na Uislam wetuNa ndio kumejaa makanisa na misikiti watu wake ni watu wa Dini sana.
Unafiki mkubwa sana
Unaongea wingi au umoja?Mengi tungeweza kurusha mawe, kurekodi kama bonge, kutumia chochote ambacho kipo hapo kusaidia...... ukiona mtoto wako anachukuliwa na watu wenye bunduki hutapambana? You'll do anything to save them
Dar unakata roho watu wanakuangalia tu wengine wanchukua video.Dar unaibiwa watu wanakuangalia.
Dar unaporwa simu na vibaka Raia wanakuangalia
Dar unatekwa stand Raia wanakuangalia bila kuhoji
Dar mji wa wajanja,hakuna kama Dar Tanzania [emoji3][emoji13]
Nchi yao, chama chao, serikali yao na BUNGE lao. Sasa niambie utapambanaje ili sheria ibadilishwe? Tafadhali tupe hiyo mbinu.Mimi nashauri .....tusijatibu tupambane kubadili ile sheria iliyowapa nguvu....kosa likokule .....mazingira kukutesa huwa haraka sana ...na mguvu kubwa.....ukiwa huma mbavu....dak 2 uko ndani gari.....pia its higly timing .....sehemu tulivu kidogoo.....sikia tuuuu
Wanaume wa Dar.Wakuu,
Mtu wa pili huyu anatekwa sehemu ambayo kuna watu na hakuna kitu raia tunafanya? Tunasubiri apotee ndio tuje mtandaoni kuanza kulaani na kulisema Jeshi la Polisi, Samia na Serikali yake?!
Pia soma: Breaking News: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulika katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli
Wana Dar tuna nini? Ndio hatuna umoja kiasi hiki? Hili jambo lingetokea Chuga au sehemu nyingine wangekiwasha hadi kieleweke, na ijulikane hao watu ni akina nani. Walau hata kwa Bonge walijiongeza tukio likarekodiwa, huko watu wamekaa tu kama ndezi.
Wamejaribu kwa bonge wakaona jinsi watu hatuna umoja, leo wakaenda kwa chembamba wamprove kuwa wananchi tupo tupo tu!
Kwanini lakini tunakuwa mazombi hivi?
Uantaka kuniambia raia zaidi ya 50 wangebeba .mawe makubwa na mazito na kuanza kurusha unafikir hao mammbwa na mabunduki yao wangebaki , kuna mikoa huwez fanya huo upumbavu eitha utakua marehem ama sanasana gari yako itabaki majivu ..ila dar ni pa kiduwani watu wa huko wanajua kula stareh tuNdugu ,bunduki haina mwenyewe .
Aisee...Ndio maana wakamsubiri atoke kigoma , kule waha wasingewaacha watekaji ila daslam ni simple tu hamna mtu anakufatilia.
mbona ikitokea ajali watu wanakuwa fasta kuchukua picha?Stendi, kila mtu yuko bize na mabegi yake plus makelele kibao na harakati za kutosha.
Mpk ukafahamu mtu huyu anatekwa, halafu upate interest ya kurekodi kisha uwashe data na kamera, unakuta watu washamaliza yao .
Sema watu wa Dar,baadhi ya watu mikoa mingine hawawezi ruhusu ujinga kama huu utokeeWatanzania ni watu wa kipekee sana. Hapo atapita mwizi wa mchicha fungu moja watapiga waue kabisa ila binadamu anaibwa wanatazama tu. Tupo hivyo.
Ipo hivyo
Haibadiliki damu yetu
Na kunyanduanaHatuna nguvu za kupambana,
Tunashindia Miguu ya Kuku na utumbo wake.
Halafu hizo nguvu kidogo tunazopata tunazimalizia kwenye kubishana kuhusu Mpira.
Instead unataka upambane na watekajii khaaaaaNchi yao, chama chao, serikali yao na BUNGE lao. Sasa niambie utapambanaje ili sheria ibadilishwe? Tafadhali tupe hiyo mbinu.