Mtu anayemchukia Hayati Magufuli anafaa kuwa Waziri Tanzania?

Mtu anayemchukia Hayati Magufuli anafaa kuwa Waziri Tanzania?

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania.

Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa.

Sasa mimi nauliza kama ni sawa Rais Samia kumuweka uwaziri mtu au watu waliyojitokeza mbele ya umma au kunaswa sauti zao wakimkashifu na kumkejeli the late Magufuli.

Wengine hata baada ya kupewa uwaziri hawaishi kumpiga vijembe kutafuta kumvunjia heshima Magufuli.

Wananchi kwa ujumla wao wanaomuenzi Magufuli na kupenda mwelekeo kisiasa na kiuchumi wa Tanzania kuendelea na mwendo wa Kimagufuli hakika wanakwazika sana kuona mtu yeyeto aliyejitokeza wazi kumpinga na kumkejeli Magufuli anaaminika kushika Wizara nyeti kwenye Serikali ya mrithi wa Magufuli.
 
Hilo Limama lilikuwa linafiki na mimacho yake! Alikuwa mbaya sana huyu mama kwa Magufuli ina nakuhakikishia atavuna alichopanda alikuwa anamuona Magufuli mjinga na ili kuonesha hilo anawatoa watu wa maana anaweka wanafiki wenzake!
 
Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania.

Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa...

Anafaa kuwa rais maana kupenda na kuchukua ni utashi wa mtu
 
Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania.

Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa...
Number one mwenyewe anamchukia mwamba, ila huyu mzee alikufa na mengi moyoni
 
Maoni ya watu kuhusu Magufuli yatakuwa dictated (yataamuliwa) na maoni ya umma kuhusu Magufuli.

Magufuli amekufa ghafla,watu wamechanganyikiwa akili,kwa hiyo wanaweza kusema kitu chochote(in the immediate aftermath of his death). It is only what they say two,three,four years after his death that should concern you.

Tusubiri kuona itakavyokuwa,kama uchaguzi ukitokea ,watu wanapoomba kura watasema,, "Mkinichagua,naahidi kwamba sitakuwa kiongozi wa ovyo kama Magufuli"
 
Mwenyewe late jpm alikuwa anampiga vijembe Sana kikwete, na Mara nyingine alimvunjia heshima ana kwa ana. Nakumbuka ile ya University of Dar es salaam ilikuwa ufunguzi wa hostel, binafsi mpaka niliona aibu kuiangalia.

Ukiwa kiongozi wa nchi kusemwa vibaya kupo tuu wafuasi wake mvumilie kwani sio mageni haya
 
Mother anamalizia kiporo cha huyo jamaa yenu aliyekufa kwa ujinga wake (Naona mnamsimanga sana kwa kura zenu za wizi na kifedhuli za 2020, mngeshinda kwa halali sijui hata kama kungekalika humu), and 2025 anachukua kwa kura zake yeye kama yeye.

Hii ya kuwaondoa washamba washamba kama Kalemani ni Trela, 2025 tunafagia "primitives" wote serikalini. Na 2030 hakuna "sadist" atapenya kuingia 5 bora, jipangeni kisaikolojia kuongozwa na "watu smart" mpaka 2040!!
 
Back
Top Bottom