Abdulhayy
Senior Member
- Oct 11, 2021
- 178
- 139
Usiseme wananchi kwa ujumla wao,ni nyie wasukuma ndio hampendezwi na wanaomsema magufuli.....Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania.
Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya kuapa kua rais wa tanzania kwamba yeye na magufuli ni kitu kimoja. Na amerudia kusema hivyo mara kadhaa.
Sasa mimi nauliza kama ni sawa Rais Samia kumuweka uwaziri mtu au watu waliyojitokeza mbele ya umma au kunaswa sauti zao wakimkashifu na kumkejeli the late Magufuli.
Wengine hata baada ya kupewa uwaziri hawaishi kumpiga vijembe kutafuta kumvunjia heshima Magufuli.
Wananchi kwa ujumla wao wanaomuenzi Magufuli na kupenda mwelekeo kisiasa na kiuchumi wa Tanzania kuendelea na mwendo wa Kimagufuli hakika wanakwazika sana kuona mtu yeyeto aliyejitokeza wazi kumpinga na kumkejeli Magufuli anaaminika kushika Wizara nyeti kwenye Serikali ya mrithi wa Magufuli.
Vipi kile kibarua cha kusimamia malaika kimeshaanza huko paradiso?