Mtu anayemchukia Hayati Magufuli anafaa kuwa Waziri Tanzania?

Usiseme wananchi kwa ujumla wao,ni nyie wasukuma ndio hampendezwi na wanaomsema magufuli.....

Vipi kile kibarua cha kusimamia malaika kimeshaanza huko paradiso?
 
Jpm aliteua watu wajinga sana kwa serikali yake kama huyu makonda. Mwisho wake, wateuzi hao wajinga hawakumshauri vizuri, hatimaye kifo.

https://www.facebook.com/
Kwani wewe una elimu kiwango gani kwani nakuona kama mjinga. Magufuli aliwateua ma Phd na wasomi wenye weledi kushika nafasi mbalimbali halafu wewe unasema aliwateua wajinga? Sasa ndio wanatolewa ma Phd wazalendo wanawekwa wenye ujuzi kupiga hela ya umma.
 
 
Anafaa kuwa rais pia iwapo atapata ridhaa ya watanzania, mapenzi yako kwa magufuli usiyafanye kuwa ya watz wote. Kila mmoja ana mtazamo wake kwa magu.
 
Mungu ni mkuu kuliko mungu wa Wasukuma, jifunze kusahau
 
mtoa post angalia hiyo video hapo chini .
Pia Suala la chanjo ya korona, {msimamo wa maufuli na wa sasa)
Pia Suala la bandari ya bagamoyo {msimamo wa maufuli na wa sasa)
Si kweli kwamba yeye na magufuli ni kitu


Hivi kweli tutakuja kupata mtu mwenye maamuzi thabiti kama huyu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…