Hizi nchi ukiwa na hasira lazima utafanya jambo! Kwa sasa kuna lizee limoja (gombe creature) limezidi kwa kuudhi.Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.
Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.
Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.
Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.
Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.
By Quinine wa JF.
Kuna siku watakuja kuuliza “kwani Tume ya uchaguzi ndiyo inajenga barabara? Kwani matokeo halali ndiyo yanaleta maji? Kwani Jeshi ndiyo linaleta chakula mezani?”Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.
Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofuatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.
Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.
Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.
Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.
By Quinine wa JF.
Perfect! Yanajua fika ila yanajitoa ufahamu.hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau
Kabisa kamanda ndiyo maana Kenya hamna shida ya ajira,njaa,wizi,ufisadi,mauaji ,umaskini kwakua walipata katiba mpya. Tanzania kuna njaa,hamna ajira,umaskini,wizi nk kwasababu tumekosa katiba mpya. HONGERA KAMANDAHuwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.
Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofuatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.
Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.
Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.
Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.
By Quinine wa JF.
Ndio maana nimewaita ni wajinga na wapumbavu wanajua lkn wanaingiza siasa kwenye suala muhimu la katiba.Perfect! Yanajua fika ila yanajitoa ufahamu.
Katiba mbovu ndiyo inawaweka madarakani na kuwapa nafasi ya kuiba, leo yanaongea mavi mdomoni
We nawe ushakuwa pumuni tupuKabisa kamanda ndiyo maana Kenya hamna shida ya ajira,njaa,wizi,ufisadi,mauaji ,umaskini kwakua walipata katiba mpya. Tanzania kuna njaa,hamna ajira,umaskini,wizi nk kwasababu tumekosa katiba mpya. HONGERA KAMANDA
Hebu tujiulize, ni ipi tofauti yako na wale niliowataja?Kabisa kamanda ndiyo maana Kenya hamna shida ya ajira,njaa,wizi,ufisadi,mauaji ,umaskini kwakua walipata katiba mpya. Tanzania kuna njaa,hamna ajira,umaskini,wizi nk kwasababu tumekosa katiba mpya. HONGERA KAMANDA
Huyo Bishweko tangu Mboye asuse na kukimbia mapambano kuipambania nchi yetu kabadirika mnoHebu tujiulize, ni ipi tofauti yako na wale niliowataja?
Matatizo yanatofautiana kwa kila nchi.
Kwahiyo kumbe we gentleman na familia yako mnakula katiba, right?Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.
Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.
Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.
Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofuatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.
Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.
Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.
Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.
By Quinine wa JF.
Wewe pia ni mjinga kwa mktadha huo, sorry.Kwahiyo kumbe we gentleman na familia yako mnakula katiba, right?
kwa siku mnakula copy ngapi?
sasa muerevu kama ni mjanja,Wewe pia ni mjinga kwa mktadha huo, sorry.
Illiteracy thinking.Katiba ili mpite mkalambe asali , katiba ni kwa wananchi sio nyie chawa wa vyama vya siasa..Tukianza upya , mkubali vyama vya siasa vifutwe , havina faida wala havizlishi kazi ni kula pesa za wananchi.
Ndivyo mada inavyosema kwa wote wenye mawazo hayo na nimetoa na mifano.sasa muerevu kama ni mjanja,
mbona umejaa mihemko na makasiriko useless tu jukwaani?