Mtu anayesema 'Katiba haileti chakula mezani' ni mjinga na mpumbavu

Kabisa kamanda ndiyo maana Kenya hamna shida ya ajira,njaa,wizi,ufisadi,mauaji ,umaskini kwakua walipata katiba mpya. Tanzania kuna njaa,hamna ajira,umaskini,wizi nk kwasababu tumekosa katiba mpya. HONGERA KAMANDA

Wewe ni miongoni mwa wapumbavu anaosema mleta Uzi nataka nikwambia makamu wa Rais yuko wapi wakenya tunawaona makamu wa Rais pamoja nakupishana na Ruto rais lakini makamu anaonekana
 
Fala umebakiwa na kingereza tu ha kukariri , nimegusa maslahi yako ..Chama hakina ruzuku hali mbaya na mumeo yko jela ..Utakula nn kenge ww!?
Umegusa maslahi yangu unanijua.

Kenge mama yako aliyebakwa kilabuni ukazaliwa wewe.
 
Wewe n chawa tu , hakuna mtu aliyekuwa na akili kazi kuandika ujinga tu kila siku...Umenyimwa maslahi ,unalia lia dogo.
 
Kama kuanzisha thread ya kujadili katiba ni ujinga wewe ndio mjinga zaidi huna afya kwenye uzi huu acha wengine wajadili, kuna thread nyingi na majukwaa mengi JF unaweza kwenda, pumbavu.
 
Katiba ili mpite mkalambe asali , katiba ni kwa wananchi sio nyie chawa wa vyama vya siasa..Tukianza upya , mkubali vyama vya siasa vifutwe , havina faida wala havizlishi kazi ni kula pesa za wananchi.
Kuna watu wezi kuliko CCM kweli...
Hivi Abdul alipata pesa wapi ya kununua Bugatti na magari yote yale ya kifahari?
 
Huyo mtu sio wa kumwelewesha hivyo alishakunywa maji ya bendera, ndio maana mimi huwa namjibu kadri anavyokuja.
 
Kama kuanzisha thread ya kujadili katiba ni ujinga wewe ndio mjinga zaidi huna afya kwenye uzi huu acha wengine wajadili, kuna thread nyingi na majukwaa mengi JF unaweza kwenda, pumbavu.
Angalia nyuzi zako kazi kusifia wanaume wenzio na stori za umbea ...Jiangalie sana , kijana achana na uchawa , kama elimu bado sana .
 
Nijiangalie unanijua pumbavu wahed.
 
Kuna watu wezi kuliko CCM kweli...
Hivi Abdul alipata pesa wapi ya kununua Bugatti na magari yote yale ya kifahari?
Wezi kila kona hata wewe ni mwizi , CCM ni wezi kwa vile wako madarakani na wengine nao watakuja kuwa wezi pia wakipewa madaraka.
 
Ndio maana inapaswa kuwepo katiba mpya ikiwemo kuwajibishwa kwa wezi na mafisadi haswa pale wanapomaliza muda wao wa kuongoza...

Kiufupi ni kwamba wanaogopa katiba mpya sababu itawawajibisha...

Katiba iliyopo ni ya kipuuzi, imepitwa na muda...
 
Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.

Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.

Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.

Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofuatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.

Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.

Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.

Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.

By Quinine wa JF.
Walafi ni wengi sana hapa nchini awaangalii msitakabali wa mbeleni hii nchi akiikamata mtu mwenye kisasi kuna familia zitalia na kusaga meno hadi wajukuu zao
 
Ndio maana wapo tayari kuua mamia ili waendelee kutawala kusogeza siku.
 
Wewe ni miongoni mwa wapumbavu anaosema mleta Uzi nataka nikwambia makamu wa Rais yuko wapi wakenya tunawaona makamu wa Rais pamoja nakupishana na Ruto rais lakini makamu anaonekana
Kwahiyo Ndejembi ayupo ofisini? Bila matusi na kejeri CHADEMA uwezi kupewa kadi.. Nchi hipo salama na mambo yanaendelea..daraja la Karebe tunatumia ,Kyenyabasa tunatumia na Keterero tunatumia. UDSM-Tawi la Bukoba mbioni kufunguliwa pale Itahwa-Karabagaine nyie endelea kususa
 
Hebu tujiulize, ni ipi tofauti yako na wale niliowataja?

Matatizo yanatofautiana kwa kila nchi.
Katiba sio suluhu ya matatizo ya nchi wala jamii. Ingekua hivyo basi tangu 1964 nchi hii ingekua mbali sana maana ata hizo zote zilikua katiba mpya. CHADEMA tumetengeza katiba mpya..ebu tueleza katiba hiyo mpya imetupa nini CHADEMA?
 
Huwezi kutenganisha katiba na maisha ya watu, huwezi kuitenganisha katiba na uchumi wa mtu, ajira ya mtu, afya ya mtu, elimu ya mtu.

Swala muhimu si tu “katiba inaleta chakula” bali pia katiba inaweza kuathiri mazingira yanayowezesha watu kupata chakula, kazi na huduma mbalimbali.

Katiba ndiyo inayoweka kanuni za mamlaka, haki, uwajibikaji na namna taasisi za serikali zinavyofanya kazi.

Haki ya kuishi imewekwa na katiba, haki ya kufanyakazi inawekwa na katiba, utaratibu unaofuatwa na machinga, bodaboda umewekwa na katiba, mshahara unaotegemea ukanunue chakula unawekwa na katiba.

Uhuru wa wanasiasa wanaotamka hayo maneno nao umewekwa na katiba.

Bila katiba hakuna serikali hakuna vyama vya siasa hakuna shule, hakuna mahakama.

Mtu yeyote anayesema katiba haileti chakula ni wa kupuuzwa kwa ujinga wake, ni mpumbavu maana hata cheo alichonacho amekipata kupitia katiba anayoidharau.

By Quinine wa JF.
Wakulima hawahitaji katiba,walilima kabla katiba haijaja,ilipokuja na hata sasa,wakulima wanahitaji maji ya uhakika/irrigation schemes,pembejeo,soko
Katiba haijamzuwia mtu kufanya biashara,kuanzisha kiwanda, kusoma nk
Acheni kufanya katiba ni hitajio muhimu na la dharura la nchi,fanyeni kazi kenge nyie
 
Unataka kuambulia matusi kutoka kwa watukanani na radicals wa CHADEMA...daaah
 
Huyo Bishweko tangu Mboye asuse na kukimbia mapambano kuipambania nchi yetu kabadirika mno

Mfwatilie utaona mwenyewe, isije kuwa ndo mkewe Mboye
Mapambano dhidi ya nani kwenye nchi hii huru na yenye amani. Tatizo mmejazwa misconceptions za hovyo nanyi mkashindwa kuelewa kabisa. Nchi kupiga hatua au kuingia chama kingine sio lazma na sio lazma tufe nk
 
Back
Top Bottom