Wee wafanya biashara tunapiga hela, na sisi wengine ni ujanja ujanja tu hatuna bado biashara za maana ila hela tunapiga mshahara wako wa mwezi ni hela ya wiki 1 tuWaajiriwa wa serikali tukisikia habari hizi huwa tunajiuliza hao wafanyabiashara wanaotutukana kuhusu kuajiriwa kwetu, huwa wanaingiza faida kiasi gani kwa siku baada ya makato yote?
Hujui Biashara wewe, 7,300,000/= kwa mwaka...then kwa miaka miwili?Hesabu we huoni hapo million 10 na 20k Kwa siku ni mbingu na ardhi halafu biashara yenyewe bajaji
Naungana na mleta hoja 10mil ni hela nyingi sana,kumpa mlevi mmoja akuletee 20,hapo unamfaidisha huyo mlevi kuliko unavyofaidika wewe
[/QUOTE
Ata biashara yeyote mbali na bajaji ukimwachia mlevi hapo unamfaidisha huyo mlevi kuliko unavonufaika wewe
Sio kweli, inatagemeaHiyo bajaji kwa Hustle za bongo haiwezi maliza mwaka ikiwa nzima! Mleta mada ana hoja yenye mashiko!
Jamaa anajiona mjanja Sana. Kuna watu wengi tu wanaishi kwa kutegemea bajaji. Kwa mfano, kwa bajaji hiyo hiyo, watu wanalipia Kodi ya nyumba, wameoa, wanasomesha watoto, matibabu, chakula na mavazi.Kwani utakuwa unategemea hiyo bajaji kwa kila kitu?? Hiyo biashara ni ya kuzungusha hela hata kama faida ni sio kihvyoo.
Kuna watu wanalisha familia mbili kwa bajaji mzee, nenda kitaa ujionee!
anafanyaga Kwa miaka miwili mpaka miwili na nusu nadhaniTupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
WW unafanya biashara yoyote?Yaani Kuna watu akili kama zimepungua kichwani hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha hii ni akili Gani yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe aisee kweli washamba mnaotoka kijijini na pesa za urithi wa mashamba mtaendelea kukumbatia umasikini milele?
Wewe umekosa vijana bora ila biashara hiyo aina tatizoBro umekuwa mkali leo π€£
Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri πππ.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3
Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 π€£π€£π€£, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee π
Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza π€£π€£π€£
Ila akili unazo wewe unaemfaidisha muhindi kila siku na uambulii chochote!Hao ni machizi mtu mweusi hasa wa kijijini hajawahi kuwa na akili ya utajiri
Kwenye kumpa mtu asipuuzwe abadani ila kuendesha mwenyewe sawa ndio apuuzwe....TAHADHARI !
MLETA MADA APUUZWE
Mleta mada unaijua vizuri biashara ya Bajaji au unasimuliwa?,Je umewahi kumiliki,kuendesha ya mtu au kwenu mmewahi miliki bajaji?
Bajaji Kwa siku inalaza si chini ya elfu 40 na hii ukiwa unaendesha mwenyewe siyo kumpa mtu!
Dereva (Deiwaka) anapata faida kubwa zaidi ya mmiliki!
Mimi sijaenda kazini tangu Ijumaa hadi kesho Jumanne, lakini hesabu inasomeka siku zote hizo 75k kwa siku kabla ya makato. Tena ngoja na kesho nijaze kabisa likizo ya mwaka siku 28 nilipwe 800k za nauli ingawa nitabaki KiwalaniWee wafanya biashara tunapiga hela, na sisi wengine ni ujanja ujanja tu hatuna bado biashara za maana ila hela tunapiga mshahara wako wa mwezi ni hela ya wiki 1 tu
Ukiwa bungeni dili Ni nyingi hata unajua mifumo ya kukwepa kodiKwahiyo kina abood, kina shabiby, waliojenga vituo vya mafuta wenye ma daladala, ni wajinga sio??
Mii siwezi fanya uwo mchezo mkuu Yan kwa m10 alafu alete shingap sijui..Bro umekuwa mkali leo π€£
Nina ushuhuda mzuri kuhusu biashara ya bajaji niliwahi post humu naiuza...vijana wana hatari bana, kuna dereva mpaka alijifanya kapata ajali anatembea upande upande kama ngadu kumbe wakati wa kutoka gereji kajisahau anatembea vizuri πππ.
Vijana wa makumbusho baadhi yao ni vimeo kabisa hawana wasi hata kidogo na jasho la mtu, niliuza zooote 3
Wengine wanakwambia ngo'a mpya bosi nilete 25000 π€£π€£π€£, bora hela niione kwa account kwa kuangalia salio everytime, everyday, every year to hell hiyo biashara asee π
Kwenye service hela inakutoka na lunch anauliza π€£π€£π€£
Nina bajaj 3, hakuna laki 6 kwa mwezi, haipo!!!!Tupe hesabu zako basi zinazosibitisha uchizi wake??
20,000x365days= 7,300,000 hiyo ni kwa mwaka mmoja.
Biashara kichaaPesa Iko kwenye usafirishaji ukinunua Bora uendeshe mapema
Kwa siku kukunja 50k ni kawaida
Unaendesha ukifika mwaka unauza million 7 unanunua nyingine
Nini huwezi mkuu?WW unafanya biashara yoyote?
Ni biashara na watu wanafanya na zinawalipa japo mimi Binafsi siwezi kuweka 10m kwenye Bajaji mm binafsi siwezi kabisaaa